Mwili wa Balozi wa Italia Waagwa DRC
GAVANA wa Kivu Kaskazini, Carly Nzanzu, na Mshauri Mkuu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wameongoza maafisa wengine kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa balozi wa Italia nchini humo, Luca Attanasio, na mlinzi wake.…
