Huyu Hapa Mrembo Anayeshikilia Nambari Moja Duniani kwa Uzuri
KULINGANA na ripoti ya hivi majuzi iliyotolewa na "Golden Ratio of Beauty Phi," Bella Hadid anachukuliwa kuwa mwanamke mrembo zaidi na mwenye sura nzuri, Kila kitu hapa ni kamili, kuanzia kwenye taya, macho ya kuvutia na kuwa na midomo…
