Suzy Mla Nyama Mbichi Afunguka ”Boyfriend Wangu Aliniacha Aliogopa” – Video
Msanii wa Bongo Muvi, @bintsuzy amefunguka kuhusu tatizo lake la kupenda kula nyama mbichi na kudai kuwa tangu aanze kula hajawahi kupata tatizo lolote la kiafya kama kuumwa tumbo wala minyoo na kwamba hawezi kuacha kwani anapenda mno…
