×

Tag: burudani

Kumekucha: Zari Amvua Nguo Tanasha

DAR ES SALAAM: Kumekucha tena! Ni maneno ambayo yanaweza kutumika kuelezea dude lililoamshwa linalomhusisha, zilipendwa wa staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

WEMA APATA HOFU KUZIDI KUKONDEANA

TANZANIA sweetheart, Wema Isaac Sepetu amesema ameshauriwa kuongeza kilo tatu kwenye mwili wake kufuatia kuzidi kukondeana.  Akizungumza na Shusha Pumzi...

READ MORE

Ligi Kuu ya Serengeti Lite kutimua vumbi leo

  Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Premium Lite Msimu wa 2019/2020, inatarajia kuanza kutimua vumbi rasmi leo Jumamosi Oktoba...

READ MORE

 Nai akana kutoa kibendi

VIDEO Qeen zao la Gigy Money, Kim Nana na Lulu Diva anayetikisa kwa kuuza vipodozi, Nai Kisa ‘Official Nai’ ameng’aka...

READ MORE

Nandy, Mobeto kunani tena?

WAKATI watu wako bize kuwaza pesa hii imekuwa tofauti kwa warembo wawili wanaofanya vizuri kwenye gemu ya muziki wa Bongo...

READ MORE

Hamisa ampa mama’ke ndinga matata!

NANI kama mama? Najua unajibu kimyakimya kuwa hakuna! Unaambiwa mwanamitindo na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto amemzawadia mama’ke, Shufaa...

READ MORE

FAMILIA YA MENINAH YALALA MBELE NA MWIJAKU!

WAKATI upelelezi wa kesi ya picha na video chafu za msanii wa filamu na muziki Bongo, Menina Attick ‘Meninah’ ukiendelea,...

READ MORE

Aunt Amemmisi Moze Iyobo?

MWANAMAMA mkali kutoka kiwanda cha filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amewajibu wanaomhoji kama amemmisi Mose Iyobo, lakini bado hajammisi baba...

READ MORE

TECNO waja na matoleo mapya makubwa matatu

Kampuni ya simu za mkononi ya Tecno imewanufaisha wateja wake kwa kuja na matoleo mapya makubwa matatu ya simu hizo...

READ MORE

Serena Atupia Mtandaoni Picha za Mwanaye Akishiriki Harusi

NYOTA wa mchezo wa tennis duniani,  Serena Williams, wa Marekani, ametupia katika mtandao wa Instagram picha ya mwanaye wa kike,...

READ MORE

Utata wa mimba ya Kim Nana

UTATA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Video Queen Lilian Kessy ‘Kim Nana’ kuanika kitumbo chake kinachoonesha kina kiumbe ndani, kupitia...

READ MORE

 Gigy Money aapa kubadilika, kukwepa marafiki

NAAPA kubadilika! Ndivyo alivyosikika mwanamuziki machachari kwenye gemu la Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ambapo amesema ahitaji tena marafiki...

READ MORE

Vanessa mahaba kama yote na Mnaigeria

  MWANAMUZIKI staa wa Nigeria, Rotimi, hivi sasa yuko chanda na kidole na kimwana wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi,  Vanessa...

READ MORE

DNA kumaliza utata mtoto wa Diamond

Unakumbuka ule utata wa binti wa mwanamuziki mkubwa barani Afrika; Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’, aliyemzaa mwaka...

READ MORE

Watoto wa Kim Kardashian Wabatizwa Armenia

Kim Kardashian na watoto wake watatu wamebatizwa wakati wa ziara yao huko Armenia.  Nyota huyo mwenye miaka 38 amesambaza mtandaoni...

READ MORE

Elton John: Michael Jackson Alichanganyikiwa  

Sir Elton John mwanamuziki nyota wa Uingereza  amesema  hayati bingwa wa muziki wa pop, Mmarekani Michael Jackson aliyamaliza maisha akiwa...

READ MORE

Bata la Lyyn Dubai usipime!

WAKATI watu wakidai kuwa hali ni ngumu, kwa upande wa mwanamuziki anayeanza kufanya vizuri kwenye Bongo Fleva, Irene Loiuse ‘Lyyn’...

READ MORE

Kaka wa Nicki Minaj Hatiani kwa Kubaka Kibinti Miaka 11

KAKA wa rapa Nicki Minaj ametiwa hatiani kwa kubaka kibinti cha umri wa miaka 11 nyumbani kwake huko Long Island,...

READ MORE

WASHINDI WA TIGOPESA WAKALA PROMOSHENI WAKABIDHIWA ZAWADI

  Kampuni ya simu ya Tigo leo imetoa zawadi kwa washindi watatu wa promosheni ya tatu ya mawakala wa Tigo...

READ MORE

Mwanariadha Kipchoge Aweka Rekodi ya Marathon

MWANARIADHA wa Kenya, Eliud Kipchoge, amekuwa binadamu wa kwanza kukimbia mbio ndefu (marathon) kwa kutumia muda wa saa 1 dakika...

READ MORE

Wasio na KONEKSHENI’ hawajaona ila imetosha!

KUNA matukio ambayo siku za hivi karibuni yametokea kwenye ulimwengu wa maisha ya mastaa Bongo na kushitusha sana. Nazungumzia matukio...

READ MORE

Pharrell Williams Anaichukia Mistari Ya Ngoma Zake

MWANAMUZIKI kutoka pande za Marekani, Pharrell William amefunguka kuhusu mistari ya ngoma zake za zamani ilikuwa mibaya hapendezwi nayo tena....

READ MORE

Sasa ni zamu ya wakaazi wa Dodoma, Tigo Fiesta 2019 Chemsha Bongo

Kampuni inayolenga kuleta mageuzi ya kidigitali katika maisha ya watanzania, Tigo, leo imetangaza promosheni kabambe ijulikanayo kama Tigo Fiesta 2019...

READ MORE

Wenye Video Chafu za Meninah Kimenuka!

HAKUNA aliye salama! Hiyo ndiyo taarifa kutoka Jeshi la Polisi ambayo imetua kwenye Dawati la Gazeti la Ijumaa Wikienda kwamba,...

READ MORE

Cristiano Ronaldo aweka rekodi nyingine kubwa duniani

Mshambuliaji wa klabu ya Juventus na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo jana usiku ameweka rekodi ya kuwa mchezaji...

READ MORE

Diana hapawezi mamtoni!

PAMOJA na kwamba aliposepa Bongo na kutimkia mamtoni (Marekani), staa wa Bongo Muvi; Diana Kimari, alisema hawezi kurejea, lakini ukweli...

READ MORE

Tamasha la Tigo Fiesta 2019 _Saizi yako lafana Sumbawanga

Mtangazaji  wa kipindi cha Double XXL kinachorushwa na radio ya crouds fm ambaye alikuwa moja washereheshaji katika tamasha la Tigo...

READ MORE

Mke wa Rayvanny Abanwa Kumkuwadia Mondi

UKISIKIA mambo ni moto ndiyo haya sasa! Wakati mwandani wa mwanamuziki wa kimataifa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,...

READ MORE

Huddah Amtikisa Zari kwa Utajiri

DAR ES SALAAM: Huku wakidaiwa kuchukuliana mabwana, mrembo maarufu Afrika Mashariki anayetokea jijini Nairobi, Kenya, Huddah Monroe ametajwa kuwa miongoni...

READ MORE

Mahakama yavunja ndoa ya Muna Love

HATIMAYE Mahakama ya Mwanzo Magomeni jijini Dar, imevunja ndoa ya msanii wa filamu nchini, Rose Alphone ‘Muna Love’ na aliyekuwa...

READ MORE

MISS UTALII WALAMBA SHAVU NONO

SHINDANO la Miss Utalii limeingia makubaliano ya kudhamini shindano la Kimataifa la Miss Utalii Tanzania 2019/2020 na hotel ya kitalii...

READ MORE

Ben pol ataja sababu ndoa ya kimyakimya!

DAR ES SALAAM: Staa mkubwa wa muziki wa RnB Bongo, Benard Paul ‘Ben Pol’ ametaja siri ya kufunga ndoa ya...

READ MORE

Aunt atonesha kidonda cha wema!

DAR ES SALAAM: Ama kweli ule usemi usemao mtoto si nguo umuazime mwenzako una maana kubwa! Staa mkubwa wa filamu...

READ MORE

Ma ex wa Diamond…Wanaigana au ni Madili Tu!

MASTAA wengi wa kike ni wahanga wa mitandao ya kijamii hasa kwa kupiga picha kali na kuzitupia katika kurasa zao...

READ MORE

Ebitoke: Hata Kama Nimebabuka, Kileleni Nimechungulia

BAADA ya kuweka picha akiwa amebabuka uso huku maneno ya kejeli yakiwa mengi, msanii wa vichekesho; Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ amesema...

READ MORE

Meninah Aibu Yake

NI aibu yake! Ndiyo maneno yaliyowatoka wengi baada ya kuona video chafu inayodaiwa ni ya msanii wa Bongo Fleva na...

READ MORE

Utajiri wa mastaa, Shilole akimbiza mwizi kimya kimya

UTAJIRI wa mastaa mbalimbali Bongo unazidi kukua kila kukicha ambapo mwanamuziki anayetamba na ngoma ya ‘Nikagongee,’ Zuwena Mohammed ‘Shilole’ naye...

READ MORE

Aunty Lulu acharuka Bondi kuoa!

BAADA ya hivi karibuni mwigizaji wa filamu za Kibongo, Bondi Suleiman kufunga ndoa na mwanamama raia wa Burundi, Charlote Rafael,...

READ MORE