Bwege: Naunga Mkono Tozo, Mwanasiasa Haogopi Kufungwa Wala Kufa – Video
MBUNGE Mstaafu wa Jimbo la Kilwa Kusini, Suleiman Bungara maarufu kwa jina la Bwege amesema yeye anaunga mkono tozo ya miamala ya simu iliyopitishwa na Bunge kuanza kufanya kazi hivi karibuni kwani makusanyo yatasaidia kutanua…
