×

Tag: Celebrities

Hii Ndiyo Siri Mastaa wa Kike Bongo Kuibuka na Pub

MASTAA wengi wa filamu za Kibongo wameibuka na Pub ili kujipatia kipato cha upande mwingine ili kikidhi mahitaji yao wenyewe...

READ MORE

Kisa Nandy, Amber Lulu ‘Amaindi’

BAADA ya habari kutapakaa kama moto wa kifuu akikiri kuokolewa na msanii mwenzake, Faustina Charles ‘Nandy’ baada ya kumlipa hela...

READ MORE

UMEYASIKIA YA Zabibu Kiba kwa Banda?

KWELI inapofika kwenye suala la mapenzi kila mmoja anatulia! Dada asiyependa makuu kwenye mitandao ya kijamii ambaye pia ni dada...

READ MORE

BWANA WA ZARI AMFANYIA KUFURU TIFFAH!

DAR ES SALAAM: Juzi Jumanne (Agosti 6, 2019), binti wa staa wa Afro- Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwanamama...

READ MORE

AUNT AKATA NGEBE ZA UWOYA

DAR ES SALAAM: Staa mkubwa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefanya kufuru kubwa na kumfunika staa mwenzake, Irene Uwoya baada...

READ MORE

Diva Atakayenioa hajulikani kirahisi

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye anga la Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa licha ya watu kumhusisha na wanaume...

READ MORE

UWOYA, MOBETO GUMZO MKUTANO WA SADC

GUMZO kubwa huko mtaani pamoja na kwenye mitandao ya kijamii ni kibarua alichoomba msanii mkubwa wa filamu Bongo, Irene Uwoya...

READ MORE

Siwema amshushia sifa Nay wa Mitego

 MREMBO ambaye ni mzazi mwenziye na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ Siwema Edson amesema hawezi kuwa...

READ MORE

MWANAHERI Silitumii vibaya shepu langu!

MWANADADA anayekimbiza kwenye Tamthiliya ya Kapuni, Mwanaheri Ahmed amefunguka kwamba anajijua kuwa ameumbika lakini kamwe hawezi kujilengesha kwa wanaume wakware. ...

READ MORE

FEZA AUKACHA U-TOM BOY

MTANGAZAJI wa Choice FM, Feza Kessy amefunguka kuwa ameamua kuanza kuvaa magauni na kuvaa mawigi ili kuondoa ule muonekano wa...

READ MORE

Wajue Mastaa 9 Wanaomiliki Visiwa vya Anasa

KUMILIKI eneo ambalo unaweza kupata burudani, ukalima chochote unachokitaka na kufurahia maisha na familia yako ni moja ya ndoto zilizotimia...

READ MORE

Zarinah aibu tena Uganda

BADO mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ anazidi kuandamwa vibaya nchini kwao, Uganda, baada ya kupigwa chini kuwa jaji...

READ MORE

mtoto wa Beyonce avunja rekodi

BLUE Ivy ambaye ni mtoto wa mastaa wanaokimbiza kwenye Muziki wa R&B na Hip Hop kutoka Marekani, Jay-Z na Beyonce,...

READ MORE

 Husna Maulid bora asile, kisa..!

MREMBO ambaye alishakwaa skendo mbalimbali za kupiga picha na kuachia mwili wake wazi, Husna Maulid amesema kutokana na kupenda urembo...

READ MORE

Beyonce Kuirudisha Destiny’s Child kwa Kishindo

Kundi la Muziki la Destiny’s Child ambalo lilikuwa likiundwa na Beyonce Knowles, Michelle Williams pamoja na Kelly Rowland kabla ya kuvunjika mwaka 2006, liko mbioni kurudi...

READ MORE

TATUU YA Mondi KWA MOBETO GUMZO!!

SIRI imefichuka kwamba, kumbe modo ambaye ni mwigizaji na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto ‘Misa’ amejichora tatuu ya baba...

READ MORE

shilole Siwezi kufa na unafiki!

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema watu wengi wanakwama kwa sababu hawapendi kusema ukweli badala yake wanakumbatia unafiki,...

READ MORE

tanasha atamani mwanawe afanane na baba’ke

MWANDANI wa mwanamuziki mkali wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch ametoa la moyoni kuwa anatamani mwanaye atakayejifungua...

READ MORE

MREMBO AMTIA ADABU ZARI

DAR ES SALAAM: Maji yamekorogeka! Upepo bado siyo mzuri kabisa kwa upande wa mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’...

READ MORE

UWOYA amfanyia mbaya Johari

ZANZIBAR: Staa mkubwa wa filamu Bongo, Irene Uwoya amemfanyia kitu mbaya mwigizaji mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’.  Uwoya amemshtukiza Johari ambaye...

READ MORE

Mama D nyodo 100%

ANATAAAMBA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Mama D’...

READ MORE

BARAKA THE PRINCE: NAJ kawazidi Nisha, Meninah

MSANII wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Baraka The Prince’ amesema anajivunia kuwa na mpenzi wake wa sasa,Naj kwa sababu ni...

READ MORE

Romy Jones amjibu Shilole!

DAR ES SALAAM: Saa chache baada ya mwanamama wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kudai kuwa Rais wa Wasafi, Nasibu...

READ MORE

WAKATI AKITIMIZA MIAKA 10 SKENDO YA FREEMASON YAZIDI KUMTESA MONDI

DAR ES SALAAM: Wakati akitimiza miaka kumi ya ustaa wake ndani ya Bongo Fleva, mwanamuziki mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu...

READ MORE

Beka Ibrozama: Ruge alinibadilisha kimuziki

MKALI wa Muziki wa Bongo Fleva aliyewahi kutikisa na Ngoma ya Natumaini, Beka Ibrozama amesema hakuna kitu ambacho hatakisahau katika...

READ MORE

WEMA akiongeza ‘fyuzi’ moja tu ya Shilole ametoboa!

UKITAKA kujua nguvu ya Madam, Wema Sepetu weka bando lako la kutosha kwenye simu yako janja, chukua picha ya mrembo...

READ MORE

Sajenti: Simlambi mwanaume miguu matumizi ya mwanae

MUIGIZAJI wa Bongo Muvi, Husna Idd ‘Sajenti’ amesema kuwa kamwe kitu ambacho hawezi kukifanya ni ‘kumlamba miguu’ mwanaume ambaye amezaa...

READ MORE

WOLPER Akoma Kutoa Penzi Kwa Masikini – VIDEO

MUIGIZAJI mwenye mashine zake za kushona nguo mjini, Jacqueline Wolper ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa kamwe hawezi...

READ MORE

Ray: Nazaa tena na Chuchu

MUIGIZAJI kitambo wa filamu Bongo,Vincent Kigosi ‘ Ray’ amefunguka kuwa anataka kuzaa tena na muigizaji mwenzake, Chuchu Hansy mtoto mwingine. ...

READ MORE

VEE MONEY ANAZIDI KUIPELEKA BONGO FLEVA KIMATAIFA

UKIFIKA katika Jiji la New York kuna jarida moja maarufu la urembo na mitindo linalotoka kila mwezi ambalo ndani yake...

READ MORE

MOBETO NDANI YA DAR LIVE

NAJUA ulikuwa ukijiuliza sana eti mbona shoo za mwanamitindo na msanii mpya wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto huzioni! Jibu hili...

READ MORE

MONDI AMUUMBUA ZARI UGANDA!

MAMBO ni moto! Bado ‘muvi’ la zilipendwa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ linazidi kutikisa...

READ MORE

WEMA AFICHUA SIRI YA MAISHA YAKE

WEMA Isaac Sepetu ‘Madam’ amevunja ukimya, amefichua siri nyuma ya maisha yake, Ijumaa Wikienda linakudokeza.  Katika mahojiano maalum na Gazeti...

READ MORE

MARIOO ANAVYOPINDUA BONGO FLEVA

MUZIKI ni ajira lakini pia ni biashara kubwa ndiyo maana nchini Nigeria wanaichukulia ‘serious’ tofauti na wengi wanavyoiona!  Kila mwaka...

READ MORE

SIWEMA: UTOTO ULINITOA KWENYE MSTARI!

MWANADADA mjasiriamali ambaye pia ni mzazi mwenza na mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson amekiri kuwa, kipindi cha...

READ MORE

RAMMY AYAPA KISOGO YALIYOMUUMIZA

MUIGIZAJI wa filamu Bongo, Rammy Galis amefunguka kuwa kwa sasa ameamua kuyapa kisogo mambo yote yaliyowahi kumuumiza kwenye maisha yake...

READ MORE

HARMONIZE KUJITOA WASAFI GIZA NENE!

DAR ES SALAAM: Ni giza nene! Madai yenye ujazo wa kutosha yanaendelea kutikisa kwamba memba wa Wasafi Classic Baby (WCB),...

READ MORE

MSHTUKO MCHUMBA WA JUX, ADAIWA KUFANYA UPASUAJI MARA 6

DAR ES SALAAM: ACHANA na bata analokula akiwa na staa wa muziki wa RnB Bongo, Juma Khalid ‘Jux’ mara wapo...

READ MORE

CAREEN ATASUUZIKA AKIMNASA CHRISTIAN BELLA

Msanii anayekuja vizuri kwenye Bongo Fleva, Careen Gardner ‘Malkia Careen’ amefunguka kuwa roho yake itatulia kama atafanya kazi na mwanamuziki...

READ MORE

MUNA AFUNGUKA MADAI YA KUTOKA NA MBASHA!

Baada ya kudaiwa kutoka kimapenzi na mwimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha, mwanamuziki Rose alphonce ‘Muna Love’ kwa mara...

READ MORE