×

Tag: Celebrities

SHILOLE WANAOFICHA WATOTO WATAUMBUKA WOTE

BAADA ya sakata la mwanamama Rose Alphonce ‘Muna Love’ la kukana kwamba hana mtoto mwingine zaidi ya marehemu Patrick Peter...

READ MORE

UCHUMBA WA TUNDA, CASTO CHALI

LICHA ya hivi karibuni kujinadi kwamba anampenda mchumba wake na wana malengo kibao, lile penzi la mtangazaji wa Runinga ya...

READ MORE

RAYVANNY: MAMA WATOTO AKITEMBEA UTUPU POA TU

MWANAMUZIKI kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amefunguka kwamba, kwa dunia ilipofikia sasa kwa upande wake...

READ MORE

HAWA: NATESEKA, TUMBO LINAJAA MAJI KILA WIKI

KAMA watoto wakinililia, waambie kesho nitarejea, Wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea, Nawe usichoke kuvumilia, na kila siku kuniombea, Unapokwenda...

READ MORE

ESMA: NITACHANGUA MWANAUME KAMA KARANGA

BAADA ya kuachana na mumewe, dada wa mwanamuziki maarufu wa Afro-Pop, Na­sibu Abdul ‘Diamond Platinumuz’, Esma Khan amefunguka kuwa amejifunza...

READ MORE

ESTER KIAMA ARUDI KIJIJINI KULIMA

MWIGIZAJI wa filamu za Ki­bongo, Ester Kiama ameamua kurudi kijijini kwao, Dumila mkoani Morogoro kuan­galia kama anaweza akajishughuli­sha zaidi na...

READ MORE

AIKA : MIAKA 10 YA MAPENZI YETU KAMA 2 TU !

Mwanamama kutoka Bongo Flevani, ambaye ni memba wa Kundi la Navy Kenzo, Aika Mariale amesema miaka 10 waliyoishi ya kimapenzi...

READ MORE

ODEMBA APORWA MUME MCHANA KWEUPE!

UBUYU ni miongoni mwa matunda ambayo hayachoshi hasa ukiwa unajua jinsi ya kuumun’gunya ili usichubuke ulimi! Ubuyu mtamu uliotua kwenye...

READ MORE

MAUA SAMA AFUNGUKA KUMWAGWA NA MZUNGU

KUNA wakati ukiufuatilia sana muziki wa Bongo Fleva utakuwa unaona unabadilika kwa kasi siku hadi siku. Kuna kipindi utaona unaenda...

READ MORE

HUDDAH AKATAA KULINGANISHWA NA VERA SIDIKA

MJASIRIAMALI Alhuddah Njoroge, ‘Huddah Monroe’ amekataa kushiriki Tuzo za Black Entertainment Film Fashion Television and Arts (BEFFTA) ambapo yupo kipengele...

READ MORE

MASTAA HAWA WALIVYOTAMBA NA NEMBO ZA DINI

JUMAPILI iliyopita gumzo kubwa katika sekta ya burudani ilikuwa ndani ya Usiku wa Met Gala ambapo mastaa kibao wakiwemo Kim...

READ MORE

Britney Spears Ajiachia na Serengeti Boy Wake

INGAWA ni mwanzoni tu mwa Desemba, tayari in­aonyesha staa wa Pop, Britney Spears, amesha­ianza sikukuu, juzikati alituma picha kwenye mitandao...

READ MORE

Mtoto Wa Amina Chifupa Afunguka Maisha Yake Baada Ya Babu Yake Kufariki

Stori: Boniphace Ngumije na Gladness Mallya | Risasi Mchanganyiko | Habari KIJANA Abdulrahman Mohammed Mpakanjia, mtoto wa aliyewahi kuwa Mbunge...

READ MORE

Mercy Johnson Atamani Kuolewa Tena!

MKONGWE kutoka kiwanda cha filamu, Nollwood, Mercy Johnson ameweka wazi hisia zake kwa mumewe, Prince Okojie kuwa anatamani kuolewa kwa...

READ MORE

#GlobalCars: Hizi Ndio Ndinga 10 Kali Zilizoshine Zaidi Kwenye Movie Ya Fast & Furious 8 – (Pichaz)

Kwa wale wadau wangu wa kuroll mtaani ‘in everything nice rimz’ basi naamini moja ya vitu vilivyotrend zaidi kwenu kwenye franchise...

READ MORE

MTV Base Yawataja Wasanii 4 Wa R&B Wa Kuwasikiliza Zaidi Kutoka East Africa; Tanzania Wapo Wawili

Bongo Fleva inakua kila siku na yote ni kutokana na juhudi za wasanii wetu kutoa kazi bora zinazokubalika sio tu...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Itazame Movie Trailer Ya ‘All Eyes On Me’ Inayosimulia Maisha Ya Tupac Shakur – (Video)

Kwa wale mashabiki wa TuPac Shakur na muziki wa Hip Hop kwa ujumla pokeeni official movie trailer ya ‘ All...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Akothee Afanya Matanuzi Zurich Na Gari Jipya Aina Ya ‘Porsche Cayenne’ – (Pichaz).

Kwenye Celebrity Updates za leo April 07 2017 ninayo hii ya Madam Boss wa 254 Akothee kutokea pande za Zurich....

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Baada Ya Davido Na Wizkid, Tekno Nae Adondosha Wino Na SONY Music.

Baada ya kufanya vizuri na single yake ya Pana, Tekno anazidi kupasua anga level za kimataifa.  Mtandao wa Billboard umethibitisha taarifa...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Burna Boy Ala POVU La Wakenya Baada Ya Kushindwa Kufanya Show Yenye Kiwango – (Twitter)

Ukitaka kuona umoja wa Wakenya fanja jambo uzingue alafu lipeleke kwenye mitandao ya kijamii, hawatokuacha bure!  Msanii wa Nigeria Burna...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Trey Songz Azungumzia Kuoa, Mapenzi na Nicki Minaj + Diss Track Ya Remmy Ma & Mengine Kwenye Beats 1 Radio – (Video)

Kwa wale wafuatiliaji wa muziki wa R&B superstaa Trey Songz, album yake ya saba Tremaine tayari imeshatoka na inagusa vitu...

READ MORE

#GlobalMusic: Rock City Rapa COYO Amerudi Na Nyingine Mpya ‘ZIWAFIKIE’ – (Official Music Video)

Kwa wale wadau wote wa Hip Hop na wenye mapenzi ya dhati na Mwanza, ipokee nyingine mpya kutoka kwa Tetemesha...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Harmo Rappa Apigwa Chupa Maisha Basement Kisa ‘Kiboko Ya Mabisho’ – (Pichaz& Video)

  Good morning mdau, leo kwenye Celebrity Updates ninazo zile zilizobamba over the weekend ikiwemo hii ya msanii anaechipukia kwa...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Tazama Jinsi IlivyokuwaKwenye Uzinduzi Wa Album Mpya Ya Lady Jay Dee ‘WOMAN’ – (Photos & Video)

Siku ya Ijumaa tarehe 31 Machi ilikuwa siku muhimu sana kwa Malkia wa Bongo Fleva Lady Jay Dee ambaye alikuwa...

READ MORE

#GlobalMusic: Wizkid Feat. Drake ‘Come Closer’ – (Official Audio Release)

Baada ya kuikamata dunia na single ya ‘One Dance’, Wizkid na Drake wamerudi tena  na nyingine mpya this time Drake...

READ MORE

#GlobalMusic: K.O Apigania Penzi La Mtoto Wa Kitajiri Kwenye ‘Pretty Young Thing’ – (Video)

Rappa kutoka South Africa na Boss wa Cashtime Life K.O anaileta kwetu official music video ya wimbo wa ‘Pretty Young...

READ MORE

#GlobalMusic: Itazame Official Music Video Ya ‘Tito Mboweni’ Kutoka Kwa Cassper Nyovest – (Video)

  Rapper kutoka South Africa Cassper Nyovest ameachia official music video ya wimbo wake mpya Tito Mboweni. Itazame hapa chini....

READ MORE

#GlobalCelebrities: Akothee Awakingia Kifua Single Mamas, Awatolea Povu Wale Wanaojifanya Wajuaji Wa Kulea! – (Soma)

  Kwenye zile posts na captions za mastaa zinazotrend Instagram, ongeza na hii ya #MadamBoss Akothee kutoka Kenya ambaye ujumbe...

READ MORE

#GlobalMusic: Itazame ‘Yolo Yolo’ Mpya Kutoka Kwa Seyi Shay – (Video)

Imepita muda kidogo toka tumsikie mkali wa R&B kutoka Nigeria Seyi Shay na kama ulikuwa umemiss kuwa na nyimbo zake...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Future Azungumzia Uhusiano Wake Na Ciara Kwa Sasa, Uongozi Wa Donald Trump & Mengine.

Baada ya kuachana na aliyekuwa girlfriend wake wakati huo Ciara, Future amefanya interview na jarida la Billboard Magazine na kufunguka baadhi ya...

READ MORE

#GlobalUpdates: Akon Amchagua Muafrika Huyu Kuwa Muongozaji Mkuu Wa Video Zote Za Konvict Music Africa – (Video)

Imagine unapata shavu la kufanya kazi na Akon na unaenda kuwa Muongozaji wa video sio moja wala mbili bali video...

READ MORE

#GlobalMusic: H_Art The Band x Lady JayDee Waachana Njia Panda Safari Ya Mapenzi Kwenye ‘Rosella’ – (Video)

Kwenye zile zinazotrend wekeend hii kutoka East Africa ni pamoja na hii ya H_Art The Band kutoka Kenya na Malkia...

READ MORE

#GlobalMusic: Isikilize ‘Fool For You’ Ngoma Mpya Ya Wizkid Iliyovuja – (Audio)

Baada ya ku-sign dili nono na SONY mkali wa muziki kutoka Nigeria Wizkid  amerudi na nyingine mpya. Mwanzoni mwa mwaka...

READ MORE

#GlobalMusic: Ipokee ‘TOLA’ Collabo Nyingine Ya Vanessa Mdee na Tay Grin Kutoka Malawi – (Video)

Baada ya kushirikiana na Orezi na Legendury Beatz wa Nigeria, Cash Madame wa Bongo Fleva Vanessa Mdee anatupeleka Malawi weekend...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Davido Azianika Sababu Za Kutemana Na Lebo Ya SONY

Baada ya kujitoa kwenye label ya muziki ya Sony, Davido amejitokeza kuzungumza sababu zilizomsukuma kufanya maamuzi hayo. Kwenye pitapita yangu...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Kama Ilikupita Itazame Episode 1 ya MTV Shuga ‘Down South’ Feat. Vanessa Mdee

Season 5 ya MTV Shuga (Down South) Ipo hewani tayari  na Vanessa Mdee ni miongoni mwa sura mpya zinazoonekana kwenye...

READ MORE

#GlobalMusic: Ule Wimbo Mpya Aliyousema Vanessa Mdee Ndio Huu ‘Just Like That’ – (Video)

Siku mbili zilizopita Vanessa Mdee alitweet kuwa kuna wimbo mpya unakuja wiki hii, na kama ulikuwa standby kupokea kazi mpya...

READ MORE

#GlobalMusic: Harmonize Auachia Moyo Kwa Wolper Kwenye ‘Niambie’ – (Video)

Weekend hii kwenye playlist ya bongo fleva ninazo hits zinazotrend lakini kwa wale wapenzi wa kila kitu WCB ipokeeni hii...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Rammy Galis: “Kucheza Series Inalipa Kuliko Bongo Movie…”

Hivi karibuni nilipata chance ya kupiga stori na mwigizaji wa Bongo Movie Rammy Galis ambaye pia anaonekana kila wiki kupitia...

READ MORE

Idris Sultan Azungumzia Karibu Kiumeni, Utani Wa Diamond Na Alikiba & Mengine – (Video)

Idris Sultan ni miongoni mwa vipaji vipya vitakavyoonyesha uwezo wao wa kuigiza kwa mara ya kwanza kupitia filamu mpya ya...

READ MORE