×

Tag: Celebrities

#GlobalMusic: Kaa Tayari Kuipokea Hii Mpya ’10 Fingers’ Kutoka Kwa AKA Leo – (BTS Video)

Kama wewe ni mdau wa South African Hip Hop na wasanii wake, basi hii ni kwa ajili yako. Ukimuweka AKA...

READ MORE

#GlobalUpdates: Vanessa Mdee Kuachia Wimbo Mpya Wiki Hii Na Kutumbwiza Kwenye ‘Gidi Fest’ Nigeria

Kwa misukosuko aliyoipitia Vanessa Mdee hivi karibuni sio rahisi kufikiria kuwa msanii huyo ana nguvu ya kuachia kazi mpya kwa...

READ MORE

#GlobalUpdates: Bongo Movie Bado Ina Uwezo Wa Kwenda Kimataifa Kwasababu Hii… (+Video)

Najua nina wadau wangu wengi kutoka Tanzania na nchi jirani za East Africa ambao ni wafuatiliaji na wapenzi wa kubwa...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Jidenna Kuachia Video Sita Mpya Na Hizi Ndio Teasers Zake – (Videos)

Msanii wa muziki kutoka Marekani na mwenye asili ya Nigeria, Jidenna anaendelea kuziachia videos za nyimbo zinazopatikana kwenye album yake...

READ MORE

New Music: Bank W Amekuja Na Hii Mpya ‘Blessing Me’. Itazame Hapa – (Video)

Msanii wa muziki kutoka Nigeria Banky W ameachia wimbo wake wa kwanza kwa mwaka 2017, na ujumbe wake unaweza kukutia...

READ MORE

#GlobalCelebrities: DJ Black Coffee Wa South Africa Kushirikishwa Kwenye Mixtape Mpya Ya Drake ‘More Life’

Baada ya kushinda tuzo ya BET ya Best International Act: Africa mwaka 2016, DJ maarufu kutoka South Africa DJ Black...

READ MORE

NEW Music: Itazame ‘Tucheze’ Video Mpya Ya Muimbaji Akothee Kutoka Kenya

Wiki hii kwenye shavu la midundo ninayo mpya kabisa kutoka kwa Akothee. Safari hii anataka wote tuinuke na ‘Tucheze’. Muimbaji...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Ciara Anusurika Kupoteza Ujauzito Wake Kwenye Ajali Ya Gari – (Pichaz)

Staa wa muziki wa Marekani Ciara anusurika kupoteza ujauzito wake kwenye ajali ya gari jijini Los Angeles, mtandao wa TMZ...

READ MORE

#GlobalCelebrities: P-Square Wanajua Kuishi Kistaa, Zicheki Picha Za Nyumba Yao Mpya

Wasanii wa Nigeria wanajua nini maana ya kuishi kistaa, na Peter na Paul Okoye maarufu kama P-Square ni miongoni mwa...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Itazame Studio Session Ya Rosa Ree Ndani Ya The Industry Studios- (Video)

Tunazidi kuikaribia weekend na bado nipo na wale watu wangu wenye mapenzi makubwa na Bongo Fleva.  Nilianza kwa kuileta kwako...

READ MORE

#GlobalCelerbrityUpdates: Ciara Kwenye Pozi Nane Tofauti Kipindi Hiki Cha Ujauzito – (Pichaz)

  Staa wa muziki kutoka Marekani Ciara ambaye kwa sasa ni mjamzito amefanya interview na jarida la Harper Bazaar na...

READ MORE

#GlobalMusic: Anza Kuipanga Weekend Playlist Yako Na ‘Ballerz’ Mpya Kutoka Kwa Wande Coal – (Video)

Wazungu husema; “Thursday is the new Friday” hivyo sio mbaya ukianza kuipanga playlist yako ya weekend hii mapema, ukianza  na...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Itazame Studio Session Ya ‘Pepeta’ Wimbo Mpya Wa Chin Bees – (Video)

Hii ni kwa wale watu wangu wenye mapenzi makubwa na Bongo Fleva na wasanii wake. Umeshawahi kuwaza wasanii wakiwa studio...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Wizkid Na Drake Kufanya Collabo Nyingine?

Siku hizi ukitaka kujua msanii gani anafanya nini, wapi, lini na nani isogelee tu Instagram au Twitter, huko utapata majibu...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Skales Asimulia Jinsi Alivyolazimika Kumkana Mama Yake Zaidi Ya Mara Moja.

Kwenye celebrity updates za leo machi 8 2017, nakusogezea hii ya staa wa muziki kutoka Nigeria Skales. Hit maker wa...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Jay Z Alimzuia Kabisa Tiwa Savage Kufanya Hili… ( Video)

Kumekuwa na mjadala mkubwa kuwa wasanii wengi wanaosign na label kubwa za Marekani mara nyingi huishia kupotea kwenye game, na...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Khadija Kopa Afikisha Ujumbe Huu Kwa BASATA- (Video)

Mama wa mipashao Khadija Kopa ana jambo limemkaa rohoni kwa muda mrefu sana na angependa liwafikie wahusika. Global TV Online...

READ MORE

Jay Z Na Beyonce Kununua Nyumba Ya Bei Ghali ($200 Million) Zaidi Jijini Los Angeles – (Video)

Kuwa superstar sometimes ni raha sana… why? Ukiwa kama Jay Z na Beyonce unakuwa na uwezo wa kununua kitu chochote...

READ MORE

#GlobalMusic: Kwenye Rotation Yako Weekend Hii, Iweke Na Hii ‘Sweet Love’ Ya Heri Muziki – (Audio)

Bado nazidi kuzisogeza kwako kali za kuwa nazo weekend hii kwenye rotation ya playlist yako. Its Saturday ya March 04...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Vera Sidika Achoshwa Na Maisha Ya Kuishi Peke Yake, Adai Bora Kufanya Haya…

Baada ya kuweka wazi mahusiano yake na tajiri mmoja wa Nigeria aishie Dubai, socialite maarufu East Africa Vera Sidika anaendelea...

READ MORE

Jygga Lo: “Nilikuwa Simjui Jay Z Ni Nani Na Sikupenda Kufananishwa Nae”- (Video)

Kama vile Harmo Rapa afananishwavyo na Harmonize msanii kutoka label ya WCB Wasafi ndivyo ambavyo Ramadhan Ally anafananishwa na rapa...

READ MORE

#GlobalMusic: Kwenye Playlist Yako Weekend Hii, Iweke Na Hii Mpya Ya Bracket “Chop Kiss” Feat. Flavor – (Audio)

Its finally Fridaay, na sio mbaya kama tuki-jaaam kidogo! Kwenye zile kali zinazobamba kwenye playlist yako nataka uiweke na hii...

READ MORE

Wizkid Adondosha Wino Na RCA Records/ Sony Music International Na Kuachia Wimbo Mpya; ‘Sweet Love’ – (Video)

Staa wa muziki kutoka Nigeria Wizkid anazidi kupasua anga kulitafuta soko la muziki duniani. Mmiliki wa Starboy Entertainment Worldwide Ayodeji...

READ MORE

#CelebrityUpdates: Jiandae Kumuona Vanessa Mdee Kwenye Season 5 Ya MTV Shuga ‘Down South’ Mwezi Huu – (Video)

Msimu wa tano wa MTV Shuga (MTV Shuga ‘Down South’) upo njiani na msanii kutoka Bongo Flevani Vanessa Mdee ni...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Kumbe Hii Ndio Sababu Kubwa Iliyompelekea Patoranking Kufanya Muziki Wa Raggae Dancehall.

Patoranking ni miongoni mwa wasanii wakubwa na wanaoheshimika kwenye soko la muziki la Africa kutokana na uimbaji wake wa miondoko...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Trevor Noah Sio Wa Mchezo Mchezo! Hii Ndio Nyumba Yake Mpya Ya USD $10 Million – (Pichaz)

Trevor Noah sio wa mchezo mchezo! Akiendelea kukitendea haki kipindi cha The Daily Show, haya ndio maisha anayoishi mchekeshaji huyo...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Dogo Janja Alizwa, Ni Baada Ya Kutoka Moshi Kwenye Killimanjaro Marathon – (Video)

Camera za Global TV Online zimekutana na msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja na kupiga nae stori mbili tatu, lakini...

READ MORE

New: Sarkodie Anaisogeza Kwetu ‘S.H.O.U.T’ Rap Version Ya ‘Overnight Celebrity’ – (Audio)

  Siku zote kitu kizuri share na mwenzako. Nimekutana na mdundo mpya ‘S.H.O.U.T’ wa rapa Sarkodie kutoka Ghana na jinsi...

READ MORE

NEW: Hapa Ni Korede Bello x Kelly Rowland Kwenye ‘remix’ Ya “Do Like That” – (Audio).

Korede Bello anazifuata footsteps za dada yake Tiwa Savage mdogo mdogo. Baada ya kuisogeza kwetu “Do Like That” inayosukuma views...

READ MORE

#Trending: Kwa Ahadi Ya 45,000/= Tzs, Alichokifanya Meek Mill Kwa Huyu Ombaomba Kitakufurahisha… (Video)

Maisha ni kupambana mdau, hakuna vitu vya bure siku hizi na hiyo sio kwa sisi wabongo tu bali hata kwa...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Hii Ndio Hobby Kubwa Ya Msanii Akothee Kutoka Kenya… Sio Kuimba

Esther Akoth maarfu kama Akothee anafahamika kama mwanamziki wa kike mwenye hela zaidi Kenya. Ujio wake kwenye muziki umekuja na...

READ MORE

NEW: Nimekutana Na Hii Mpya ‘Mapochopocho’ Kutoka Kwa Size 8 Wa Kenya – (Video).

Unamkumbuka mwimbaji kutoka Kenya Size 8? Mara ya mwisho kumsikia ilikuwa lini? Kwa wale watu wangu ambao ni mashabiki wa...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Kiki Ama Nini? AKA na Bonang Matheba Watangaza Kurudiana!

Siku tatu baada ya kutangaza kuachana na mpenzi wake, rapa kutoka South Africa AKA na  Bonang Matheba warudiana. AKA na...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Wiz Khalifa , Amber Rose Na Sebastian Wala Good Time Kama Familia – (Pichaz)

Stori inayotrend wiki hii kwenye picha za #GlobalCelebrityUpdates ni hii ya Amber Rose na Wiz Khalifa kujumuika kwa pamoja kama familia,...

READ MORE

New: Yemi Alade x Mi Casa: “Get Through This” – (Video)

Music diva kutoka Nigeria, Yemi Alade anarudi kuziteka playlists za mwaka 2017 kwa ushirikiano na kundi la muziki, Mi Casa wakali kutoka...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Zicheki Picha Za Mrembo Jokate Na Mastaa Mbalimbali Wa Marekani

Moja kati ya issue zinazotrend mitandaoni asubuhi hii ni Jokate kuonekana pichani na wakali wa muziki kutoka Marekani, Jay Z,...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: SONY Music: “Mwaka Huu Wizkid Ni Kipaumbele Chetu Cha Kwanza!”

Kama shabiki mkubwa wa Wizkid naomba niseme hii celebrity update ni NOMA SANAA! Ni nadra sana kukuta msanii wa Afrika...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Rapa Wa South Africa AKA na Mpenzi Wake Bonang Waachana!

Rapa kutoka South Africa AKA ametangza kuachana na mpenzi wake ambaye pia ni mtangazaji maarufu nchini South Africa, Bonang Matheba...

READ MORE

MAREKANI: Queen Latifah Kutunukiwa Tuzo Ya Heshima

Msanii, mwigizaji, TV na movie Producer kutoka Marekani Queen Latifah ni miongoni mwa mastaa watakaotunukiwa tuzo ya heshima za The...

READ MORE

Bongo Movie: Irene Uwoya Kujikita Kwenye Tamthilia, Bongo Movie Je? – (Video)

Staa wa Bongo Movie, Irene Uwoya siku ya jana Februari 14, aliandaa party kubwa Club Next Door, Masaki kusherekea siku...

READ MORE