×

Tag: CHADEMA

Mbowe, Wenzake Waachiwa kwa Dhamana

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, na viongozi wenzake Godbless Lema  na Boniface Jacob, wameachiwa...

READ MORE

Viongozi 20 Chadema Wakamatwa Singida

VIONGOZI 20 wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema) wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida na kufikishwa mahakamani kwa...

READ MORE

Mbunge Chadema Aliyembwaga Keissy Agoma Kuachia Madaraka

Aida Khenani, ambaye ni Mbunge mteule wa Jimbo la Nkasi Kaskazini kwa tiketi ya (Chadema) amesema hawezi kuwasaliti wananchi wa...

READ MORE

Mbowe, Wenzake Mbaroni Tuhuma Kupanga Maandamano

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi wanne wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Baada ya...

READ MORE

Mbowe: Lissu Atakuwa Rais, Mimi Waziri Mkuu

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda...

READ MORE

Chadema Wadaiwa Kukutwa na Vitambulisho vya Kura – Video

JESHI la Polisi linawashikilia viongozi watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  kata ya Gwanumpu wilayani Kakonko kwa tuhuma...

READ MORE

Lissu Aendelea na Kampeni Singida

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo,( Chadema), Tundu Lissu, amewataka wananchi kuchagua serikali itakayosimamia haki, uhuru...

READ MORE

Polisi: Tutakesha na Msafara wa Lissu

Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa litakesha na Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA), Tundu Lissu kwani...

READ MORE

Msafara wa Tundu Lissu Wazuiwa Pwani

Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema...

READ MORE

Polisi Yakanusha Kuupiga Mabomu Msafara wa Lissu

JESHI la Polisi Mara, limekanusha uvumi kuwa msafara wa mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu...

READ MORE

Boniface, Prof. Kitila Wakutana Global Radio; Watifuana – Video

WAGOMBEA ubunge wa Jimbo la Ubungo, Boniface Jacob (Chadema) na Prof. Kitila Mkumbo (CCM) ambao wanachuana vikali katika kinyang’anyiro hicho...

READ MORE

Jacob: Kama Maji ni Kero Ubungo, Wananchi Waninyime Kura – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Boniface Jacob, amesema kuwa uongozi wa chama...

READ MORE

Boniface Jacob Asimamishwa Kufanya Kampeni kwa Siku 7 – Video

MGOMBEA ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Boniface Jacob, amesimamishwa kuendelea na kampeni, akidaiwa kukiuka...

READ MORE

Lissu Atinga Buchosa Kumnadi Mgombea Wake, Ajiombea Kura – Video

MGOMBEA Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu, ameendelea na kampeni zake ambapo amefika Mwanza kwenye wilaya ya Sengerema jimbo...

READ MORE

Boniface Mgombea Aliyefanyiwa Umafia, Kupambana na Mkumbo

BONIFACE Jacob a.k.a Bonny, ni mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Ni kijana...

READ MORE

Maalim Seif Amtangaza Lissu Urais, Membe Agoma!

  CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetangaza kumuunga mkono Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

READ MORE

Ofisa Habari Chadema Afikishwa Mahakamani Kisutu

OFISA Habari Msaidizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dominic Mgaya (37) leo Septemba 18, 2020 amefikishwa katika Mahakama...

READ MORE

CHADEMA Kuwapa Mazingira Bora Wafanyabiashara

MGOMBEA mwenza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Salum Mwalimu, ameahidi kuwawekea mazingira mazuri wafanyabiashara wote.   Alitoa ahadi...

READ MORE

TCCA Yakanusha Kuinyima Vibali CHADEMA Kurusha Helikopta

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana kilitoa taarifa jana Septemba 10, 2020 kwamba ratiba ya mikutano mitano ya kampeni...

READ MORE

Chadema Yamuunga Mkono Maalim Seif Zanzibar

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema rasmi sasa wanakiunga mkono chama cha ACT Wazalendo kwa upande wa Zanzibar katika...

READ MORE

Makada Chadema Wadaiwa Kuchoma Ofisi za Chadema

POLISI Mkoa wa Arusha imewakamata watu watatu, wawili wakiwa ni madereva na ofisa uhamasishaji, wote wa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Wagombea 1,000 Chadema Waliokatwa Wakusanyika Dodoma

ZAIDI ya wagombea ubunge na udiwani 1,000 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapo jijini hapa wakisubiria hatma yao...

READ MORE

CHADEMA Itafanya Haya Siku 100 za Kwanza Madarakani…

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeainisha mambo 16 kitakachofanya siku 100 za kwanza iwapo kitachaguliwa na kupewa ridhaa ya...

READ MORE

Kuwatimua TBC! Wanahabari Wamtaka Mbowe Kuomba Radhi

CHAMA cha waandishi wa habari Dar es Salaam (DCPC) kimetoa taarifa inayomtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Uwazi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza hapa...

READ MORE

CHADEMA Walivyozindua Kampeni Zao za Uchaguzi

Mamia ya wananchi jana Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 walijitokeza katika uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania kupitia Chama...

READ MORE

🔴#LIVE: Tundu Lissu Azindua Kampeni za Chadema – Dar

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anazindua kampeni zake...

READ MORE

NEC Yampitisha Lissu Kugombea Urais wa Tanzania – Video

MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antipas Lissu ameteuliwa na Tume ya Taifa ya...

READ MORE

Wasiojulikana Wachoma Nyaraka Ofisi ya Chadema Mbeya

MNAMO tarehe 19.08.2020 majira ya saa 03:00 usiku huko Mtaa wa Kagwina, Kata ya Sinde, Tarafa ya Sisimba Jijini Mbeya....

READ MORE

CHADEMA Yaaanika Warithi wa Mnyika, Lijualikali

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetaja awamu ya tatu ya majina ya wabunge wake watakaogombea katika uchaguzi mkuu ujao,...

READ MORE

Polisi Yabaini Haya Ofisi za Chadema Zilizoteketea

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa moto uliounguza Ofisi za CHADEMA, Kanda ya Kaskazini usiku wa kuamkia leo,...

READ MORE

CHADEMA Yatangaza Majina Awamu ya Pili Wagombea Ubunge

CHADEMA kimemteua Lazaro Nyalandu kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Suzan Lyimo kugombea Jimbo la Kinondoni, Lucy Magereli Kigamboni,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Uwazi   kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza...

READ MORE

Majima Wagombea Ubunge Walioteuliwa Kupeperusha Bendera ya Chadema

LEO Jumapili, Agosti 9, 2020, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza majina ya awamu ya kwanza wagombea walioteuliwa kugombea...

READ MORE

Chadema, ACT-Wazalendo Watangaza Kushirikiana Uchaguzi 2020

  Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ni Mgombea Urais Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema CHADEMA itashirikiana na vyama vingine...

READ MORE

Polepole: Watia Nia Waliodanganya Tutawaadabisha – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitawashikisha adabu watia nia waliopenya kwenye kura za maoni za kutafuta wagombea wa Uchaguzi Mkuu...

READ MORE

Jaji Mtungi: Chadema Wameunajisi Wimbo wa Taifa, ni Jinai – Video

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji mstaafu Francis Mutungi amewaonya CHADEMA kutokana na alichokiita Uvunjifu wa Sheria kwa kuongeza...

READ MORE

Chadema Yampitisha Lissu Kuwania Urais

KAMATA Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imewapitisha Tundu Antipas Lissu, Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majinge, kusaka...

READ MORE

CHADEMA Yajichimbia, Mgombea Urais Kujulikana Kesho

Wagombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...

READ MORE