×

Tag: CHADEMA

Mbowe Atangaza ‘Vita’ Aprili 4; ‘Hatuogopi Jela’ – Video

MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,  amesema kutokana na ukimya kwa upande wa serikali...

READ MORE

Prof Lipumba: Mashinji Amewaokoa Chadema Kufungwa – Video

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba,  amesema kitendo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Vincent...

READ MORE

Polepole Afunguka JPM Kumlipia Msigwa

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamphrey Polepole, amesema uamuzi wa  mwenyekiti wa chama hicho, Rais...

READ MORE

Mnyika, Heche, Salum Mwalimu Watoka Gerezani – Video

Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu, Salum Mwalimu na mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche wametoka gereza...

READ MORE

Mbowe Alipa Faini ya Milioni 70, Kutoka Gerezani Leo

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amelipa faini ya 70,000,000 na muda wowote leo Ijumaa Machi 13, 2020 atatoka katika gereza...

READ MORE

Breaking: Mdee, Bulaya, Meya Jacob Wakamatwa Tena Segerea

WABUNGE wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na Ester Bulaya, Meya wa Ubungo, Boniface Jacob, Katibu...

READ MORE

Polisi Yapiga Mabomu Chadema Waliomfuata Mbowe Segerea

POLISI wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliofika gereza la Segerea leo jijini...

READ MORE

Mch. Msigwa Atolewa Gerezani, Azua Balaa – Video

RAIS  John Magufuli jana (Alhamisi) Machi 12, 2020, alimlipia Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa kiasi cha Tsh...

READ MORE

Halima Mdee Amwaga Machozi Akitoka Gerezani

MBUNGE Halima Mdee amemwaga machozi hadharani baada ya kutoka gereza la Segerea leo na kuwashukuru Watanzania kwa ushirikiano mkubwa waliouonyesha...

READ MORE

Chadema Yalipa Mil. 110 Kuwatoa Mdee, Matiko na Bulaya Gerezani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kimeanza mchakato wa kuwatoa gerezani Mbunge wa Kawe, Halima Mdee; Esther Matiko (Tarime...

READ MORE

Kauli ya Mashinji Baada ya Kutoka Jela – Video

CHAMA Cha  Mapinduzi (CCM) kimelipa faini ya Sh30 milioni aliyotakiwa kulipa mwanachama wa chama hicho, Dk Vicent Mashinji ili kutoka...

READ MORE

Updates: Mbowe, Wenzake Wakutwa na Hatia Makosa 12

UPDATES KUTOKA KISUTU, HUKUMU YA MBOWE VIONGOZI WENZAKE: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewatia hatiani washtakiwa wote katika mashtaka 12,...

READ MORE

LIVE: Wafuasi wa Chadema Wakinukisha Mahakani – “Tuueni tu”

VURUGU zimejitokeza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya polisi kuwazuia watu waliokuwa wakitaka kuingia ndani ya chumba cha mahakama...

READ MORE

Hukumu ya Mbowe, Wenzake Yaahirishwa kwa Muda

HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Kisutu  jijini Dar es Salaam, ameahirisha kusoma hukumu ya kesi inayowakabili viongozi wa Chama cha...

READ MORE

Hukumu ya Mbowe na Wenzake Kusomwa Leo Kisutu – Video

Mahakama ya Kisutu leo Machi 10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi mahakamani hapo....

READ MORE

Siasa za Siasa: Mambo Yanayoivunja Nguvu Chadema Yatajwa

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uhai wake umeonekana kuyumba kutokana na wabunge na madiwani wa chama hicho kujiunga na...

READ MORE

Lema Akamatwa, Apelekwa Singida Usiku – Video

MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbless Lema amekamatwa na polisi mkoani Arusha na...

READ MORE

Polisi Yasema Aliyeuawa Singida Alikuwa dereva Bodaboda

JESHI la Polisi mkoani Singida limesema dereva wa bodaboda, Alex Jonas (40) aliyeuawa na watu wasiofahamika alikuwa siyo kiongozi wa...

READ MORE

Mbunge Chadema Atiwa Mbaroni

  Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Katavi (CHADEMA) ambaye pia ndio Mwenyekiti wa Chama mkoani hapo, Rhoda Kunchela anashikiliwa na...

READ MORE

Hukumu ya Kesi Inayowakabili Viongozi Chadema Kutolewa Machi 10

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Machi 10, 2020 kutoa hukumu ya kesi ya uchochezi dhudi ya viongozi nane wa...

READ MORE

Halima Mdee Agoma Kumpa Mkono Dkt. Mashinji – Video

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Dkt Vincent Mashinji, amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo...

READ MORE

Mbowe Aisuka Safu Yake

READ MORE

Katibu Mkuu Chadema, Dkt. Mashinji Atimkia CCM – Video

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Vicent Mashinji,  amekihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumatatu, Februari...

READ MORE

Video: Msigwa Amjibu Steve Nyerere ‘Siwezi Kucheza Kwenye Kuku Mimi Ni Tai!’

Mchungaji Peter Msigwa ambaye ni Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini amepata wasaa wa kuzungumza na Global TV akielezea mambo...

READ MORE

Mbowe Amuandikia Barua Rais Magufuli – Video

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemwandikia barua Rais John Pombe Magufuli, kikimtaka kuunda tume ya mardhiano, ili kuliondoa...

READ MORE

Mnyika Atangaza Kugombea Tena Ubunge Kibamba

KATIBU Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema atagombea tena ubunge Kibamba katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 2020.   Mnyika ambaye...

READ MORE

Kesi ya Mbowe: “Polisi Walinichukulia Sh 12,500, Nikabakiwa na Sh 200”

ALIYEWAHI kuwa Mwanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2000 hadi 2014 na baadaye kuacha siasa na kujiunga na Chuo...

READ MORE

Wimbo wa CCM Azua Kimbembe Mahakamani, Meya vs Polisi – Video

Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wimbo unaotumiwa katika shughuli na mikutano ya CCM...

READ MORE

CHADEMA Wajilipua Mikutano Kila Kona ”Rais Alisema Ruksa 2020”

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mkoa wa Arusha kupiti kwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA) Mkoa, Ema Kimambo...

READ MORE

Mbowe Amshangaa Selasini Kujiuzulu Chadema

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, amesikitishwa na...

READ MORE

Mbunge Selasini (Chadema) Ajiuzulu

Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini amejiuzulu wadhifa wa Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kutokana na kutotambulishwa rasmi...

READ MORE

Waitara Amkabidhi Rungu DC Sabaya Kutumia ‘Pesa za Mbowe’ – Video

NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara, amemwagiza Mkuu wa Wilaya (DC) ya Hai...

READ MORE

Bavicha Wajilipua, “Hakuna Ajira, Wanachukua Elfu 20” – Video

Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) wanazungumza na Umma kupitia waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali yaliyotokea nchini. Moja ya...

READ MORE

Video: Katibu Mkuu Mpya Chadema Azungumza Kwa Mara Ya Kwanza

Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika leo Desemba 22, 2019 ameongea na wanahabari na...

READ MORE

Mbowe Achaguliwa Tena Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

  MGOMBEA wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amechaguliwa tena katika nafasi hiyo...

READ MORE

Lissu: Wameshindwa, Nimepona, Narudi Tanzania – Video

  MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu ameuhutubia mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea katika...

READ MORE

Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa Chadema – Video

MKUTANO Mkuu Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  unafanyika leo Jumatano, Desemba 18, 2019, katika Ukumbi wa Mlimani...

READ MORE

CHADEMA Yapewa Saa 2 Kuondoa Bendera Zao Dar

  MKURUGENZI wa Manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuipa saa mbili...

READ MORE

Mbowe: CHADEMA Imevunja Ndoa Nyingi

  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema amekuwa akishangazwa na watu wanaoohoji kwanini chama hicho...

READ MORE