Cheka Amtwanga Mmalawi, Atwaa Ubingwa wa UBO
BONDIA wa Tanzania, Cosmas Cheka, ameshinda pambano dhidi ya Mmalawi, Hannock Phiri, lililofanyika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro, usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2020.
Mabondia hao walipigana Kwa uzito wa Light kuwania UBO…
