Global TV Kenya: Mwili wa Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya Wapatikana (VIDEO)
Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano wa Tume ya Uchaguzi nchini Kenya IEBC, Christopher Chege Msando ambaye alitoweka siku ya Ijumaa usiku, amepatikana akiwa amefariki.
Mawasiliano ya mwisho kutoka mwa Musando aliyafanya…
