×

Tag: Diamond

Warembo Wazichapa LIVE Kumgombea Baba Diamond

DARESSAL AA M: Warembo wawili ambao walifahamika kwa majina ya Ashura na Zubeda, wamedaiwa kuzichapa kavukavu chanzo kikitajwa kuwa ni...

READ MORE

WEMA: Mobeto ni Mdogo Wangu, Lakini Mazoea Yamezidi – Video

BAADHI ya wasanii wa Bongo Muvi walimuandalia hafla fupi msanii mwenzao, Wema Sepetu, wakimpongeza baada ya kushinda Tuzo za Sinema...

READ MORE

Zari Azima Ngebe za Diamond!

DAR ES SALAAM: Dunia inakwenda spidi sana! Miezi kadhaa baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kumwagwa...

READ MORE

IMEBAINIKA! SABABU YA KIBA KUMPA DIAMOND ‘NGUMI’ HII HAPA

DAR ES SALAAM: MAMBO ni moto! Licha ya hivi karibuni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kujishusha na kumsalimia...

READ MORE

WEMA ABANWA MIMBA YA DIAMOND, ALIPUKA!

UKITAJA mastaa wakubwa Bongo wenye mashabiki wengi, kamwe huwezi kuacha kutaja jina la Wema Isaac Sepetu ambaye Ijumaa Wikienda limembana...

READ MORE

Diamond, Kiba Walivyotibuana!

KUFUATIA tukio la dharura la kifo cha aliyekuwa video queen mkali Bongo, Agness Gerald Waya ‘Masogange’ aliyeagwa jana kwenye Viwanja...

READ MORE

Diamond na Ali Kiba Walivyokutana Kumuaga Masogange

Mkali wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ni miongoni mwa wasanii waliofika viwanja vya Leaders, Kinondoni, kwa...

READ MORE

SAKATA LA DIAMOND LAMUIBUA DINNO

SAKATA la msanii mkubwa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kurekodi video chafu na kuziachia mtandaoni na kusababishia ‘msala’...

READ MORE

Lynn: Siolewi Bongo, Wanaume Wababaishaji

VIDEO Queen ambaye alishawahi kukwaa skendo ya kutoka kimapenzi na mwanamuziki maarufu, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Irene Hillary ‘Lynn’ amefunguka kuwa...

READ MORE

Baba’ke Diamond Atema Cheche Kesi ya Mwanaye

WAKATI leo mwanaye ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ akitakiwa kuripoti kwenye Kituo Kikuu cha...

READ MORE

Diamond; Umaarufu Umekulevya Sasa, Jitathmini Upya

KWA kila mtu anayemfahamu Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, msanii wa kizazi kipya ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa akiipeperusha bendera ya...

READ MORE

Mwanasheria Dar Afungukia Hukumu ya DIAMOND, NANDY

DAR ES SALAAM: Kufuatia msala wa kusambaza video zao chafu mtandaoni unaowakabili mastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’...

READ MORE

Mambosasa Athibitisha Kumkamata Diamond, Kupandishwa Kizimbani – Video

  KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, amethibitisha kukamatwa kwa mwanamuziki, Diamond Platnumz na Nandy kufuatia...

READ MORE

Ushoga, Uchafu wa Diamond na Nandy, Mwakyembe Afunguka – Video

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, amesema kuna baadhi ya wasanii ambao walianza kufanya uhuni ndani...

READ MORE

SAUZ HAKUNA ‘KIBA WALA DIAMOND’ – 2

UNAPOZUNGUMZIA muziki kwa nchi ya Afrika Kusini upo tofauti, kila msanii anakubalika kutokana na jiji analotoka tofauti kabisa na Tanzania...

READ MORE

SAUZ HAKUNA ‘KIBA WALA DIAMOND’

NDANI ya Jiji la Johan-nesburg, Afrika Kusini au Sauz hali ya hewa inasoma nyuzi joto 13, baridi ni kali sana...

READ MORE

IMEVUJA: VIDEO YA DIAMOND NA MOBETO WAKIJIACHIA KITANDANI

IMEVUJA! Video inayomuonyesha msanii maarufu wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Paltnumz’ na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto imesambaa mitandaoni ikiwaonyesha...

READ MORE

Harmonize Ft Diamond Platnumz – Kwangwaru (Official Music Video)

Mwanamuziki Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Kwangwaru ambao amemshirikisha mwanamuziki Diamond Platnumz.

READ MORE

LEBO 7 ZA KIBABE ZINAZOTIKISA AFRIKA

WCB ENZI zile wakati muziki wa Bongo Fleva unakua, miongoni mwa lebo zilizokuwa zinasimamia kazi za wanamuziki na kutengeneza kazi...

READ MORE

Shuhudia Diamond Akiimba Mbele ya Magufuli – Video

Msanii nyota Diamond Platnumz kwa mara nyingine amepata fursa kuimba mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli mapema leo jioni wakati...

READ MORE

Manara Awafananisha Diamond, Kiba Kama Ronaldo & Messi- Video

OFISA Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, amewakutanisha mahasimu wawili wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Ali Kiba.  ...

READ MORE

JIPU PWAAA! Siri mpya Diamond kutembea na Mastaa 17 Yafichuka!

JIPU pwaa! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kuvuja kwa siri inayodaiwa kuwa ndiyo chimbuko la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

KWA HATUA HII.. NDOTO ZA BABA D KWA WEMA ZITATIMIA SOON!

  AWALI ya yote nikiri tu kwamba, mimi ni kati ya watu ambao walitokea kuipenda sana ‘kapo’ ya mwanamuziki Nasibu...

READ MORE

HATIMAYE DIAMOND AMALIZANA NA MWAKYEMBE, SHONZA – VIDEO

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz Machi 27, 2018 amekutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,...

READ MORE

KHERI JAMES: MNAWAFUNGIA ROMA, DIAMOND, MTAIMBA NYIE? – VIDEO

Kufuatia sakata la kufungiwa kwa baadhi ya wasanii na nyimbo zao, akiwemo Roma Mkatoliki, Diamond Platnumz, Snura na wengine, Mwenyekiti...

READ MORE

MREMBO AANIKA SIRI ZAKE NA DIAMOND!

SIKU chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ kutangaza kufunga ndoa Juni, mwaka huu, mrembo Rehema...

READ MORE

BABA NAYE AFUKUA MAKABURI ISHU YA DIAMOND!

SIKU chache baada ya staa ‘grade one’ wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutoa maneno makali dhidi...

READ MORE

Diamond, Dogo Janja… Wanavyowatesa Mama Uwoya, Mama Wema!

NDOA au uhusiano wa mapenzi bila shaka ni jambo la kheri ambalo kila mmoja wetu hupenda watu wanaomzunguka kufurahia chaguo...

READ MORE

HUU NDO UKWELI SAKATA LA MOND VS WAZIRI

HALI imechafuka na mambo si shwari hata kidogo! Sakata la majibizano kati ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

IMEBAINIKA, KUMBE UNDANI WA UA JEKUNDU LA WEMA NI HUU!

MIONGONI mwa matukio yaliyotrendi kwa wiki hii ni hili la staa wa filamu Bongo mwenye hadhi ya nyota tano, Wema...

READ MORE

Sakata la Kufungiwa, Ishu ya Diamond Kuhama Nchi Yazua Mjadala

  HAPATOSHI! Ndivyo unavyoweza kusema. Siku chache baada ya serikali kufungia nyimbo zake mbili, mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

LUCKY DUBE ATOA USHAURI MZITO KWA DIAMOND!

  VIDOLE viwili vimekandamiza tundu mbili za pua. Nalazimika kufanya hivyo kutokana na harufu kali ya moshi mzito unaotokana na...

READ MORE

Waziri Mwakyembe Asikitishwa na Matamshi ya Diamond

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe amesema kuwa amesikitishwa na matamshi ya msanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Penny: Ningemzalia Diamond Lakini…

UKITAJA orodha ya mastaa wa kike Bongo ambao siku za nyuma walisumbua kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, basi huwezi kuacha...

READ MORE

SKENDO YA KUTOA MIMBA 8… TUNDA AFUNGUKA!

  DAR ES SALAAM: Haya ni mahojiano maalum! Baada ya kusambaa kwa skendo ya kudaiwa kuchoropoa mimba takriban nane, muuza...

READ MORE