×

Tag: Diamond

Dogo Janja Afunguka Video Yake Kufanana na ya Diamond

MSANII Dogo Janja amesema kuwa hawezi kulalamika kwa video ya wimbo wa  Nuru kufanana location na ule wa Diamond,  uitwao...

READ MORE

Diamond Apewa Zawadi ya FIFA – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, jana Ijumaa, Machi 6, 2020, alipewa zawadi ya jezi namba 9 yenye jina la...

READ MORE

Esma Miaka 8 ya Kukurukakara Penzi la Petit

AHMED Manungwa ‘Petit Man’ ni meneja wa wanamuziki mbalimbali wa Bongo Fleva. Baadhi ya waliopitia mikononi mwake ni pamoja na...

READ MORE

Nunua Gazeti la CHAMPIONI na IJUMAA Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la CHAMPIONI na Gazeti la IJUMAA kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Harmonize Amjibu Diamond “Wewe SIMBA Mimi ni TEMBO”

VITA ya panzi majani ndiyo yanayoumia! Unaweza kutumia msemo huu kutokana na staa wa muziki wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul...

READ MORE

Mashabiki 30,000 wamvaa Mondi!

DAR: Zaidi ya mashabiki 30,000 wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, wamemvaa jamaa huyo wakimtaka aachie wimbo...

READ MORE

Baba Amtaka Diamond Kuchagua Wa Kuoa

BAADA ya tetesi kuzagaa kuwa mama wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ndiye chanzo cha...

READ MORE

Mondi Kukosa Tuzo Ilipangwa, Harmonize, Burna Boy Watajwa – Video

Global TV imewakabidhi maiki mashabiki wa damu wa WCB ambao huwaambii kitu kuhusu mwanamuziki, Diamond Platnumz, ambao wamezungumzia ishu ya...

READ MORE

Eti Mzee Abdul si Baba Mzazi wa Diamond? Mwenyewe Atoboa Siri – Video

IKIWA ni siku chache baada ya msanii Diamond Platinum kutoka nyumbani kwao Mkoani Kigoma ambako alifanya Bonge la Shoo, tetesi...

READ MORE

Baba Levo Akerwa na Diamond, ‘Ameleta Udini’

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva na diwani wa kata ya Mwanga kaskazini Baba Levo amefunguka na kuonyeshwa kukerwa na...

READ MORE

Vita ya H. Baba na Diamond Yafika Patamu

VITA kati ya msanii wa muziki wa BongoFleva Hamis Baba ‘H.Baba’ dhidi ya Diamond Platnumz imezidi kushika kasi baada ya...

READ MORE

Tanasha Afunguka Madai ya Mondi Kuchepuka

MPENZI wa msanii Diamond Platinumz, Tanasha Donna hatimaye amevunja kimya chake baada ya kuibuka kwa maneno kuwa mwanamuziki huyo ana...

READ MORE

Diamond: Diva Aliomba Kazi Wasafi TV Nikakataa – Video

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amefunguka kuhusu chanzo cha ugomvi ulioibuka tena hivi karibuni kati yake na mtangazaji wa...

READ MORE

Diamond Atoboa Siri Alichomfanyia Rais JPM – Video

MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz,  ameweka bayana alivyofurahi baada ya kupigiwa simu na Rais  John Magufuli, akiwa katikati ya...

READ MORE

Mondi Kufuru, Anchokifanya Haijawahi Kutokea

HII sasa sifa! Wakati akiwa na ‘marekodi’ ya kufa mtu, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameendelea kuziandika...

READ MORE

DIAMOND Apiga Shoo ya Kibabe KIGOMA…Tazama Full Video Hapa

 MSANII wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ usiku wa kuamkia leo Januari 1, 2020 amefanya shoo ya aina...

READ MORE

Mauno ya Amber Lulu Kigoma ‘Awatoa Udenda Wanaume’ – Video

   Msanii wa Bongo Fleva nchini, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’  usiku wa kuamkia leo amefanya shoo ya aina yake...

READ MORE

Video: Rais JPM Ampigia Simu Mondi Laivu Stejini “Mwanaume”

 MSANII wa kizazi kipya hapa nchini Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platinumz usiku wa jana alikuwa akitumbuiza...

READ MORE

Diamond Azindua Msikiti Wake Kigoma – Video

  SUPASTAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, leo Jumatatu, Desemba 30, 2019, amezindua msikiti wake alioujenga Kigoma Mjini katika eneo...

READ MORE

Boomplay: Diamond Kinara wa Muziki 2019, Takwimu Zake Zashangaza

  App namba moja kwa huduma ya muziki Barani Afrika, Boomplay imemtaja msanii Diamond Platnumz, kuwa ndio mwanamuziki aliyesikilizwa zaidi...

READ MORE

Video: Mapokezi ya Diamond Kigoma, Haijawahi Kutokea!

Mwanamuziki Diamond Platnumz amepokewa na mabango wakati akiwasili stesheni ya Nguruka Mkoani Kigoma katika kuadhimisha miaka yake kumi katika muziki....

READ MORE

Dianmond Kufanya Kufuru ya Funga Mwaka!

    HII ni zaidi ya shoo ya kufunga mwaka! Ukiachana na shoo yake kukusanya mastaa wengi kuliko, siri ya...

READ MORE

Kiba Noma… Awapa Wazungu Mil. 300 Amfunike Mondi

STAA wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ anataka kuthibitisha kwamba, kweli yeye ni mfalme (king), Risasi Jumamosi limedokezwa....

READ MORE

Akili za Wabongo na Ufreemason wa Mondi

  “DIAMOND ni Freemason. Pesa zote hizi anapata wapi? Kampa mama yake na mpenzi wake magari ya kifahari? Hapana. Huyu...

READ MORE

Shehe Amuwakia Diamond na Tanasha

  SHEHE Ahmed Kandauma kutoka taasisi ya dini ya Kiislam IRSHAD ya Temeke jijini Dar amemuwakia msanii Nasibu Abdul ‘Mondi’...

READ MORE

Nyimbo 10 Zilizotikisa Bongo 2019!

MOJA kati ya mafanikio kwa msanii kwa mwaka mzima ni kutoa nyimbo ambazo zitakuwa kali, zitapigwa na kupendwa na watu...

READ MORE

Mondi Ajirudi kwa Tiffah, Nillan

DAMU nzito kuliko maji! Hili limejidhihirisha baada ya mkali anayesumbua kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kujirudi kwa wanawe,...

READ MORE

Wanaume Wazidi Kumtesa Zari

  ANATESEKA! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na yanayoendelea kwa mjasiriamali maarufu nchini Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ kwani kila kukicha wanaume...

READ MORE

Maisha ya Queen Darleen Kufuru

  BAADA ya kuolewa mke wa pili na jamaa anayetajwa kuwa tajiri maarufu jijini Dar aitwaye Isihaka Mtoro, maisha ya...

READ MORE

Saa ya Milioni 290 ya Mondi Yazua Gumzo

AMEVAA milioni 290 mkononi! Siku chache baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au Mondi kutupia picha...

READ MORE

Wasafi Festival vs Fiesta…. Vita si ya Kitoto

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na timu yake ya Tamasha la Wasafi na ile ya Tamasha la...

READ MORE