×

Tag: Ethiopia

Watu 225 Wafariki kwa Njaa huko Tigray, Ethiopia

ZAIDI ya watu 200 wamekufa kwa njaa tangu Julai katika mji wa Edaga Arbi, katika eneo la Tigray lililokumbwa na...

READ MORE

Zaidi ya Watu 60 Wauawa Nchini Ethiopia, Ripoti ya Uchunguzi Imebainisha

ZAIDI ya watu 60 wameuawa na wengine 70 kujeruhiwa mwishoni mwa Agosti, mwaka huu katika eneo la Oromia ambalo ni...

READ MORE

Hospitali Yashambuliwa kwa Makombora na Majengo Kuharibika Vibaya Ethiopia

VURUGU zimeongezeka nchini Ethiopia na kushambulia majengo mbalimbali likiwemo jengo moja la hospital iliyopo kwenye eneo la Mekele katika Jimbo...

READ MORE

JPM Aanika Alichozungumza na Rais wa Ethiopia – Video

  RAIS  John Magufuli amempokea mgeni wake Rais wa  Ethiopia, Sahle-Work Zewde, aliyewasili nchini leo Januari 25, 2021, kwa ziara...

READ MORE

Magufuli Ampokea Rais wa Ethiopia Chato

RAIS  John Magufuli, leo Januari 25, 2021, amempokea Rais wa Ethiopia, Sahle-Work Zewde, aliyekuja nchini kwa ziara ya kikazi ya...

READ MORE

Rais wa Ethiopia Kuwasili Nchini Kesho, Waziri Kabudi Afunguka -Video

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi amesema kuwa kesho Januari, 25 Tanzania inatarajia...

READ MORE

Kampuni ya Boeing yasitisha matumizi ya ndege zote za 371

  KAMPUNI ya kutengeneza ndege ya Boeing ya Marekani iliyotengeneza ndege ya shirika la ndege la Ethiopia iliyoanguka hivi karibuni,...

READ MORE

Mamia Wamuaga Rubani Yared Aliyekufa Kwenye Ndege ya Ethiopia

MAMIA ya waombolezaji wamehudhuria ibada ya mazishi ya kiislam ya rubani mwenye umri wa miaka 29 , Yared Mulugeta Gatechew,...

READ MORE

KIDUME ALIYEFUFUKA AFARIKI TENA

  MWANAMME  wa Ethiopia ”aliyefufuka” wakati wa mazishi yake miezi mwili iliyopita amefariki dunia tena.   Hirpha Negero alithibitishwa kufa...

READ MORE

WAZIRI Mkuu Ethiopia Ameteua Baraza la Mawaziri, Aweka Rekodi Hii

WAZIRI Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ameteua baraza la mawaziri 20, ambapo 10 kati yao ni wanawake. Kwa mara ya...

READ MORE

Breaking News: Mkutano wa Waziri Mkuu Walipuliwa

Waziri Mkuu, Abiy Ahmed. BOMU limelipuka katika mkutano aliokuwa akifanya Waziri Mkuu mpya wa Ethiopia, Abiy Ahmed, leo Jumamosi.  ...

READ MORE

Waethiopia 227 Mbaroni kwa Uhamiaji Haramu Dar – Video

IDARA ya Uhamiaji katika Mkoa wa Dar es Salaam imewatia mbaroni watuhumiwa 602 kwa tuhuma za uhamiaji haramu tangu Januari...

READ MORE

Wakimbizi wa Ethiopia Wakamatwa Dar, Mmoja Afariki Dunia

WAKIMBIZI kutoka Ethiopia wamekamatwa usiku wa kuamkia jana Jumapili, Aprili 15, 2018 majira ya saa 9.00 usiku wakiwa wamehifadhiwa katika...

READ MORE

TFF YATANGAZA KUIBEBA YANGA ETHIOPIA

UONGOZI wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umesema kuwa unaji­panga kuhakikisha unaisaidia na Yanga katika mchezo wake wa marudiano wa...

READ MORE

Breaking News: Waziri Mkuu Ethiopia Ajiuzulu

WAZIRI Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn, amejiuzulu wadhifa huo baada kuandika barua kwa chama chake cha Ethiopia People’s Democratic Front...

READ MORE

Kabila Linalohusudu Vitambi, Linalotembea Utupu-7

  WIKI iliyopita tuliona jinsi wavulana wa Kabila la Bodi wanavyokuzwa kwa kufundishwa kazi mbalimbali ikiwemo ya kulinda mifugo yao....

READ MORE

Ethiopia Yazima Mitandao Yote ya Kijamii

SERIKALI nchini Ethiopia imefunga mitandao yote ya kijamii ya mitandao ya Facebook, Twitter, Instagram na Viber baada ya kuvuja kwa...

READ MORE