Mshindi wa Simu kutoka Chota Mapene Akabidhiwa Zawadi yake
Ernest Moshiro kutoka Same Kilimanjaro ni miongoni mwa walio pata bahati ya kujishindia zawadi kutoka chota mapene ameendoka na simu mpya aina ya TECNO CAMMON 20 toleo jipya.CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani…
