×

Tag: ikulu

JPM na Mkw Wamjulia Hali Mama Maria Nyerere

Mapema leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wamemjulia...

READ MORE

JPM: Wanajeshi Wamesomba Korosho, Waziri Upo Tu! – Video

RAIS  John Magufuli amewaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Lugha Bashungwa, Kamishna Mkuu wa mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),...

READ MORE

FLASH ‘Yamtoa Jasho’ JPM, Asachi Koti, Suruali Lakini Wapi – Video

KITUNZA data aina ya (Flash Disk) chenye orodha ya majina ya wafanyabiashara wakwepao kodi imeibua gumzo Ikulu baada ya Rais...

READ MORE

Ikulu: JPM Atoa Siku 30 Kwa Wafanyabiashara Hawa – Video

Rais Dk Magufuli leo Juni 7, amekutana na wafanyabiashara kutoka wilaya zote hapa nchini, pamoja na wajumbe wa Baraza la...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Gwajima Ikulu – Video

RAIS John Magufuli amekutana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima leo Juni...

READ MORE

NYOKA WEUSI WAVAMIA IKULU, RAIS AKIMBIA OFISI

MSEMAJI wa Ikulu ya Liberia amesema rais wa nchi hiyo hivi sasa anafanyia kazi nyumbani kwake baada ya nyoka wawili...

READ MORE

Rais Magufuli Azindua Ikulu Mpya, Chamwino – Dodoma

 Rais John Magufuli  leo amesema dhamira yake ya kuhamia Dodoma iko pale pale ila amechelewa kufanya hivyo kwa sababu...

READ MORE

JPM Amtaja Aliyeingiza Magari 194 Akagoma Kulipa Kodi, Ataja Siri Nzito! – Video

RAIS John Magufuli ameanika madudu yanayofanywa na baadhi ya viongozi kwa kushindwa kutimiza wajibu wao vizuri huku wakiwakumbatia wala rushwa...

READ MORE

JPM Apokea Taarifa ya Utendaji wa Takukuru – Video

Kamishna wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru),Diwani Athmani amesema taasisi hiyo imefanikiwa kuokoa kiasi cha Sh70.3 bilioni...

READ MORE

CHINA YAIPA BURUNDI BONGE LA IKULU, NI JIPYAA!

Balozi wa China nchini Burundi, Li Changlin na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Ezechiel Nibigira wamesaini hati ya...

READ MORE

JPM Aeleza Kwa Nini Hakumteua DPP Kuwa Jaji – Video

RAIS  John Magufuli amesema miongoni mwa majina aliyopelekewa yakiwa yamependekezwa kuteuliwa kuwa majaji ni Mkurugenzi wa Mashtaka wa Serikali (DPP)  Biswalo...

READ MORE

MA-RC WAKABIDHIWA AWAMU YA PILI YA VITAMBULISHO VYA WAMACHINGA

                                       ...

READ MORE

Mch. Mwingira: Mnataka Tuichukie Serikali? – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Leo January 23, 2019, amekutana na viongozi mbalimbali wa Dini Ikulu Dar es Salaam na...

READ MORE

JPM Aanika Mchezo Polisi Walivyokula Mil 700 Kusindikiza Dhahabu ya Magendo -Video

  RAIS John Magufuli amempongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro kwa kushughulikia suala la dhahabu ya...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala – Pichaz

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John...

READ MORE

GWAJIMA ATINGA IKULU, ASHUSHA MAOMBI MAZITO MBELE YA JPM – VIDEO

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, leo Jumatano, Desemba 12, 2018 amekuwa miongoni mwa wageni walioalikwa Ikulu jijini...

READ MORE

TAARIFA MUHIMU KUTOKA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 10 Desemba, 2018 amepokea hati za utambulisho...

READ MORE

MMBATIA: Magufuli Amekubali Kuzungumza na Chadema, Sisi ni Wamoja – Video

Rais Dkt. John Magufuli amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi,...

READ MORE

MAGUFULI AWACHANA MWIJAGE, TIZEBA KISA CHA KUWATUMBUA – VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Mawaziri wawili na Naibu Mawaziri wanne ambao aliwateua...

READ MORE

JPM Awapa Ofa Wataalamu wa Moyo Kutoka Israel na Marekani – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli anakutana na timu ya wataalamu wa matibabu ya moyo kutoka nchini Israel na Marekani, Ikulu...

READ MORE

VIDEO YA TUKIO MAALUM IKULU LEO, JPM APOKEA UGENI MZITO

Mhe. Rais Magufuli amepokea hati za utambulisho za Mabalozi walioteuliwa kuziwakilisha nchi za Ubelgiji, Norway, Sweden, Palestina na Kuwait hapa...

READ MORE

JPM: BALOZI ANAKUNYWA WINE TU, UKITUMBULIWA USILAUMU – VIDEO

RAIS  John Magufuli amewatahadharisha mabalozi wa Tanzania walio nchi za nje kwamba watapoteza nafasi zao ikiwa hawatazitumia  kuleta tija kwa...

READ MORE

Ikulu Yafafanua Siku 4 za Maombolezo

Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Gerson Msigwa amefafanua juu ya siku 4, za maombolezo ya ajali ya MV-Nyerere zilizotangazwa na Rais...

READ MORE

IKULU: Rais Magufuli Ametangaza Maombolezo, Si Mapumziko

IKULU imeeleza kuwa siku ya Jumatatu tarehe 24 Septemba, 2018, itakuwa ni siku ya kazi kama kawaida. Siku 4 alizotangaza...

READ MORE

Wassira Ateuliwa Mwenyekiti Bodi Kumbukumbu ya Nyerere

RAIS John Magufuli amemteua Stephen Wassira kuwa Mweyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,  nafasi iliyokuwa inashikiliwa...

READ MORE

Orodha ya Wakurugenzi Walioteuliwa na Magufuli Leo – Video

RAIS John Magufuli amefanya mabadiliko ya wakurugenzi wa wilaya, manispaa, miji na majiji na ambapo ameteua wakurugwenzi wapya 41 na...

READ MORE

BREAKING: RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MPYA – VIDEO

RAIS John Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya uteuzi wa  wakuu wa wilaya kufuatia aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Chato, Kanali...

READ MORE

LIVE: Kutoka Ikulu, Rais Magufuli Akihutubia Muda Huu – VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, leo Julai 30 anakabidhi hati za viwanja vya Dodoma...

READ MORE

MAZUNGUMZO YA MAWAZIRI WAKUU WA TANZANIA, KOREA

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya mazungumzo rasmi ya kiserikali na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Lee...

READ MORE

LIVE IKULU: Rais Akiwaapisha Kamishina Jenerali wa Magereza

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, leo Julai 14, 2018 anamuapisha Kamishna Jenerali wa...

READ MORE

Rais Magufuli Anazungumza na Marais Wastaafu – Video

Rais Dkt John Magufuli amewalika baadhi ya viongozi waandamizi wa zamani wakiwemo marais, makamu wa rais, maspika, mawaziri wakuu na...

READ MORE

JPM Awaarika Wastaafu Ikulu, Wamo Mkapa, Lowassa na Sumaye – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli amewaalika viongozi wakuu wastaafu wote. Kufanya nao mazungumzo leo Jumanne,...

READ MORE

Ikulu: Hatuna Taarifa na Tuzo ya Rais Magufuli Kutoka Ghana

MKURUGENZI wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais, Gerson Msigwa amesema Ikulu haina taarifa kuhusu tuzo aliyoshinda Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE