×

Tag: Irene Uwoya

Mchumba wa Ndiku Amduwaza Uwoya

Mchumba wa marehemu Hamad Ndikumana ‘Ndiku’, Asma amemduwaza mzazi mwenzake na marehemu huyo, muigizaji Irene Uwoya baada ya kumpa mapokezi...

READ MORE

Lucy Komba: Mwacheni Uwoya Alie

MKONGWE wa filamu nchini anayeishi Denmark, Lucy Komba amemtetea msanii mwenzake Irene Uwoya aliyefiwa na aliyekuwa mumewe, Hamad Ndikumana ‘Katauti’...

READ MORE

Irene Uwoya Aagwa Kwa Maombi Burundi

MSANII wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya ameagwa kwa maombi na baba mzazi wa aliyekuwa mumewe, Hamad Ndikumana,….. na kushukuru...

READ MORE

Familia ya Ndiku Yazuia Uwoya Asipigwe Rwanda!

FAMILIA ya aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Timu ya Rayon Sports ya Rwanda, Hamad Ndikumana ‘Katauti’ (39), imezuia staa wa filamu...

READ MORE

Uwoya Roho Mkononi Rwanda! Anaswa na Mabaunsa

  Siku chache baada ya Hamad Ndikumana ‘Katauti’ kufariki dunia, imedaiwa kuwa, usalama wa mzazi mwenziye marehemu, muigizaji Irene Uwoya...

READ MORE

Utata Kifo Cha Ndikumana…Uwoya Yamkuta Ya Zari!

  WAKATI kifo cha aliyekuwa mume wa staa wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya, Hamad Ndikumana Katauti (39), raia...

READ MORE

Kauli Tata Za Mwisho Za Ndikumana

  KIFO hakina huruma na ni fumbo kubwa kwa binadamu kwani hakuna ajuaye siku yake ya kuondoka duniani! Usiku wa...

READ MORE

Uwoya, Ndikumana Walivyopatanishwa Na Global (Tujikumbushe)

  “OYA, acheni mambo yenu, gari liko tayari na dereva anawasubiri nyie tu, tuokoeni muda ili tuweze kufanya majukumu mengine,”...

READ MORE

Mume wa Uwoya Azikwa Nchini Rwanda, Mamia Wajitokeza Kumzika

Wachezaji wa timu ya Rayon Sports Ismailla Diarra (kushoto) na Tidiane Kone (kulia),wakiwa wamebeba mwili wa marehemu  Hamadi  Ndikumana Katauti...

READ MORE

Tajiri Salaah Amkana Uwoya

DAR ES SALAAM: Tajiri mmoja maarufu jijini Dar, anayefahamika zaidi kwa jina moja la Salaah, amemkana muigizaji Irene Uwoya ambaye...

READ MORE

MSIBA WA NDIKUMANA, MASTAA WAANZA KUMIMINIKA NYUMBANI KWA UWOYA (VIDEO)

Wasanii mbalimbali wamejitokeza nyumbani kwa msanii wa filamu, Irene Uwoya kumpa pole za kufiwa na aliyekuwa mumewe, Ndikumana Hamad aliyefariki...

READ MORE

Uwoya Hana Mizuka Na Mashoga

STAA mwenye makeke kwenye Bongo Movies, Irene Uwoya ameliambia Ijumaa Wikienda kuwa katika maisha yake na miaka yote hajawahi kuwa...

READ MORE

NDOA YA DOGO JANJA, UWOYA YAMNYIMA USINGIZI NDIKUMANA!

  Siku chache baada ya kusambaa kwa picha za harusi za aliyekuwa mke wake ambaye ni Queen wa Bongo Muvi,...

READ MORE

Bila Kubadilika, Kiki Na Bifu Hazitasaidia Bongo Movie

  MAISHA ni kitu cha ajabu kabisa. Leo mambo yanaweza yakawa mabaya kwa mtu fulani kiasi cha kila mmoja kumuonea...

READ MORE

Mr Nice Aibuka Na Dogo Janja, Irene Uwoya!

UNAPOZUNGUMZIA wakongwe wa muziki wa Bongo Fleva waliowahi kutusua, huwezi kumuacha Lucas Mkenda ‘Mr Nice’. Kwa mfuatiliaji wa burudani Bongo...

READ MORE

Milioni 400 za Wema Zatajwa Ndoa Ya Irene Uwoya!

DAR ES SALAAM: Nyuma ya sarakasi ya kile kinachosemekana ni ndoa kati ya staa wa Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya...

READ MORE

Barua Nzito: Uwoya, Dogo Janja Mmejimaliza

  NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kunipa kibali siku nyingine kuweza kukutana nawe msomaji, pia wewe msomaji wa Barua Nzito...

READ MORE

Sarakasi za Uwoya Kubadili Wanaume Zalichefua Kanisa

Baada ya ku­vuja kwa picha za staa wa filamu Bongo, Irene Uwoya (pichani) akiwa na staa wa Bongo Fleva, Abdulaziz...

READ MORE

Huku ‘ndoa’ Yake na Uwoya Ikitikisa…Dogo Janja, Mijimama Siri 4 Zavuja!

  SIKU zinakwenda kwa kasi kwani ni ‘majuzi’ tu zilisambaa taarifa za dogo anayefanya poa kwenye Bongo Fleva, Abdulaziz Chende...

READ MORE

DOGO JANJA: NI KWELI NIMEMUOA UWOYA

Eh! Bwana kweli! Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma ya Ngarenaro, Dogo Janja,  amethibitisha kumuoa muigizaji wa filamu, Irene...

READ MORE

Za Chembe Lazima Ukae…Ni Aibu Uwoya Kuishi Kwa Kiki

KITU kimoja ambacho waigizaji wa filamu Bongo wanakitambua ni kuwa kazi hiyo hailipi kwa sasa. Labda kwa waigizaji wakubwa wenye...

READ MORE

Uwoya Apewa Makavu na Mashabiki Kisa Dogo Janja!

DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya kudaiwa kuwa amefunga ndoa na staa wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’,...

READ MORE

Dogo Janja Afunga Ndoa na Irene Uwoya?

HABARI zilizoenea katika mitandao ya kijamii ni kwamba msanii wa muziki wa Hip Hop nchini, Dogo Janja, amefunga ndoa kimyakimya...

READ MORE

DOGO JANJA: UWOYA KANIGOMBANISHA NA DEMU WANGU!

  HIT maker wa ngoma ya Ngarenaro, Abdulaaziz Chende ‘Dogo Janja’, amefunguka kuwa skendo inayosambaa ikimhusisha yeye na Queen wa...

READ MORE

Uwoya Achoshwa na Dogo Janja

MKALI kunako soko la filamu Bongo, Irene Uwoya, amesema kuwa amechoshwa kuuliza maswali juu ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi...

READ MORE

UWOYA ACHORA TATTOO INAYODAIWA YA BWANA MPYA!

  BAADA ya penzi lake na mwanamuziki wa Bongo Fleva, kupotelea hewani, hatimaye Diva machachari kunako tasnia ya filamu Bongo,...

READ MORE

Irene Uwoya: Napenda mwanaume mwenye sura ya kiume

MWIGIZAJI maarufu wa kike wa filamu za Bongo anayeitingisha Bongo Movie ambae pia aliwahi kuolewa na mcheza soka kutoka Rwanda,...

READ MORE

Uwoya Ajifananisha na Jini

STAA wa filamu za Bongo, Irene Uwoya ameibuka na kusema kuwa uzuri alionao unamfanya wakati mwingine ajifananishe na jini kwani...

READ MORE

Uwoya: Filamu za Bei Rahisi Ni Tatizo!

MASHABIKI wengi wa sinema za Kibongo wanaamini kuwa fani hiyo imekosa ubunifu na mwelekeo, hasa baada ya kifo cha nyota...

READ MORE

JANJARO AANIKA MAISHA YAKE, KUONJA PENZI LA UWOYA!

MOJA kati ya headline zilizosumbua kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni ni uhusiano wa kimapenzi kati ya chalii wa Ngarenaro-Arusha,...

READ MORE

MSAMI AFUNGUKIA ISHU YA KUTONGOZWA NA UWOYA

Staa wa Bongo Fleva, Msami Baby, anayetamba na kibao chake kipya cha So Fine, alichomshirikisha rapa machachari, Chemical amefungukia taarifa...

READ MORE

Irene Uwoya Alamba Shavu Ubalozi wa Itel Mobile

KAMPUNI ya simu za mkononi ya itel mobile Tanzania leo imetiliana saini na msanii wa Bongo Muvi, Irene Uwoya kuwa...

READ MORE

Niva Awaponda Wema, Uwoya Kwa Mkewe

Na IMELDA MTEMA| GAZETI LA IJUMAA| IJUMAA STAA MIX MUIGIZAJI wa kiume anayefanya vizuri Bongo, Zuberi Mohammed ‘Niva’ amefunguka kuwa...

READ MORE

Batuli: Sina Tatizo na Uwoya

Na Mwandishi Wetu/GPL DAR ES SALAAM: Mwanamama wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ameweka wazi kuwa hana tatizo na...

READ MORE

Idris Sultan Aganda Kifuani kwa Uwoya, Watu Waguna

Na MUSSA MATEJA| GAZETI LA IJUMAA| STAR MIX MTANGAZAJI wa Choice FM ambaye pia ni mchekeshaji maarufu Bongo, Idris Sultan...

READ MORE

Uwoya ni Gusa Unate!

Na IMELDA MTEMA| GAZETI LA IJUMAA| HABARI DAR ES SALAAM: Msanii maarufu wa filamu Bongo, Irene Uwoya (pichani)  anatajwa kuwa...

READ MORE

Bongo Movie: Irene Uwoya Kujikita Kwenye Tamthilia, Bongo Movie Je? – (Video)

Staa wa Bongo Movie, Irene Uwoya siku ya jana Februari 14, aliandaa party kubwa Club Next Door, Masaki kusherekea siku...

READ MORE

Q Chief: “Valentine Ya Mwaka Huu Niliamua Kujifunza Kutoka Kwa Wenzangu…”- (Video).

  Msanii wa Bongo Fleva Q Chief usiku wa jana alikuwa miongoni mwa mastaa waliohudhuria Valentine’s Day Special Party ya msanii...

READ MORE