The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Irene Uwoya

Happy Birthday Irene Uwoya!

LEO Desemba 18, 2020 ni siku muhimu sana kwa staa wa filamu Bongo, Irene Uwoya ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Hivyo, Global Digital tunakutakia heri ya kuzaliwa. Tunatambua mchango wako ni mkubwa sana kwa…

Uwoya: Pishi Langu Hachomoki Mtu

STAA wa filamu nchini Irene Uwoya, amesema kuwa kutokana na kujua kulihimili jiko vizuri, ni ngumu hata anapopata mpenzi kuchomoka kwa rahisi, kwa sababu habari yake anaijua na mwanaume siku zote ni kula chakula kizuri, mengine ni…

Irene Uwoya Afungwa Mdomo

MWANAMAMA wa Bongo Movies, Irene Uwoya amesema, maneno ya kuudhi anayokutana nayo mitandaoni yamemfunga mdomo. Uwoya ameliambia Gazeti la IJUMAA WIKIENDA kuwa, watu wa kwenye mitandao, hata kama hutaki kuzungumza nao,…

Mtarajiwa wa Uwoya gumzo

HUKO Instagram wewe wape picha tu, maelezo watajaza wenyewe! Umbea mpya unaosambaa mitandaoni kwa sasa ni juu ya picha inayodaiwa ni ya mume mtarajiwa wa muigizaji Irene Uwoya ambaye jina lake halijafahamika.  Picha hiyo inamuonesha…

Uwoya, Lava Lava siyo siri tena!

PENZI jipya mjini! Staa wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya na Mbongo- Fleva kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Abdul Iddi ‘Lava Lava’ kwa sasa uhusiano wao siyo siri tena, Gazeti la Ijumaa Wikienda linakupa mkanda kamili.  Siri ya…

UWOYA amfanyia mbaya Johari

ZANZIBAR: Staa mkubwa wa filamu Bongo, Irene Uwoya amemfanyia kitu mbaya mwigizaji mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’.  Uwoya amemshtukiza Johari ambaye ni shoga’ke mkubwa na kummwagia ndoo za maji kwenye kumbukumbu yake ya kuzaliwa…

GAUNI LAMTOA NISHAI UWOYA

SIKU chache baada ya staa wa sinema za Kibongo, lrene Uwoya kuingia kwenye sekeseke la kuwatupia pesa waandishi wa habari na kuzua mjadala mzito, wikiendi iliyopita yalimsibu makubwa baada ya gauni alilovaa kumtoa nishai.  Ilikuwa usiku…