The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

jeshi

Wanajeshi 12 Wauawa

Wanajeshi 12 wa Burkina Faso wameuawa baada ya kushambuliwa Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo hapo jana, huku wengine saba wakitoweka. Maafisa nchini humo wamethibitisha kutokea kwa mauaji hayo ya wanajeshi lakini jeshi halijazungumzia…

Waziri Mashuhuri Auawa na Jeshi

Vikosi vya jeshi la Ethiopia vimetangaza kumuua waziri wa zamani wa mashauriano ya kigeni wa Ethiopia Seyoum Mesfin, mmoja wa wanachama waanzilishi wa chama Tigray People’s Liberation Front (TPLF) ambaye wanamtuhumu kuansisha…

JPM Ateua Mkuu Mpya wa JWTZ

RAIS Magufuli amemteua Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwa Mkuu wa JKT. Mbuge anachukua nafasi Meja Jenerali Martin Busungu ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Akiba. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa…