Baada Ya Kumtema Harmonize, Kajala Amwaga Mahaba Kwa Mwanaume Mwingine -Video
Kajala Masanja ni muigizaji mkongwe wa filamu nchini Tanzania ambaye ameonesha mahaba mazito kwa mwanaume aliyemtambulisha kama ‘bestie’ wake.Kajala ambaye ni mchumba mstaafu wa staa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, Harmonize…
