×

Tag: kenyatta

Azimio Wamlaumu Rais Kenyatta Kumuangusha Raila Odinga Urais Kenya

  WANASIASA wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, sasa wameanza kumlaumu  Rais Uhuru Kenyatta huku wakidai alisababisha mgombea...

READ MORE

Odinga Afanya Jaribio la Tano la Kugombea Urais Je, Atatoboa?

RAILA Omolo Odinga; ni mwanasiasa mkubwa mno nchini Kenya akitokea katika familia maarufu ya kisiasa nchini humo. Kofia ya urais...

READ MORE

Raia Nchini Kenya Ahukumiwa Kifo Baada ya Kuiba Gari la Rais Kenyatta

MWANAUME mmoja raia wa nchini Kenya ambaye anadaiwa kuiba gari la Rais Uhuru Kenyata mwaka 2014 amehukumiwa kifo. Mwanaume huyo...

READ MORE

Kenyatta Mgeni Rasmi Sherehe za Uhuru TZ

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa...

READ MORE

Bila Kuchanjwa Hauingii Baa, Hoteli

SERIKALI ya Kenya imesema kuwa huenda sasa Baa pakawa pagumu kwa wasiochanja na wakaamua kunywea pombe zao majumbani kutokana na...

READ MORE

Rais Kenyatta Aondoa Masharti ya Kutotoka Nje

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameondoa masharti ya kutotoka nje usiku kwa wananchi wake ambayo yaliwekwa  tangu Machi 2020 ili...

READ MORE

Kenyatta Kuwa Rais wa Kwanza wa Afrika Kukutana na Biden

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta atakutana na rais wa Marekani Joe Biden wakati akimaliza ziara yake ya siku mbili nchini...

READ MORE

Mali za Siri za Familia ya Kenyatta Zafichuliwa

Familia ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, ambayo imetawala siasa za nchi hiyo tangu uhuru, ilimiliki kwa siri mtandao wa...

READ MORE

Ruto Amjibu Kenyatta: ”Sitajiuzulu Kamwe”

Naibu wa Rais nchini Kenya, William Ruto siku ya Jumanne alisema kwamba hatojiuzulu saa chache tu baada ya Rais Uhuru...

READ MORE

Rais Kenyatta Kuzindua Miradi Usiku Kwazua Mijadala

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amekosolewa na raia wa nchi hiyo kwa kuzindua miradi wakati wa saa za amri ya...

READ MORE

Rostam Alipua Bomu: Nimewekewa Vikwazo Kenya Tangu 2017

Mfanyabiashara Rostam Aziz amesema uwekezaji nchini Tanzania na Kenya haufanani akibainisha kuwa ni rahisi kuwekeza katika nchi moja na ngumu...

READ MORE

Kenyatta: Ushirikiano wa Kenya na TZ Sasa Utakuwa wa Kiwango Kingine

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema ushirikiano baina ya Tanzania na Kenya utayafanya mataifa hayo kupiga hatua katika maendeleo.  ...

READ MORE

Samia: Huku Mna Kenyatta, Kule Kuna Suluhu, Kazi Kwenu! -Video

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wafanyabiashara wa Tanzania na Kenya kushirikiana na si kushindana ili kuhakikisha uchumi wa...

READ MORE

Rais Kenyatta Atoa Wiki Mbili Tatizo la Mahindi Mpakani Litatuliwe – Video

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyata ametoa wiki mbili kwa watendaji serikalini kuhakikisha sakata la mahindi ya Tanzania yaliyozuiwa kuingia Kenya...

READ MORE

Video: Rais Samia na Kenyatta Wafungua Kongamano la Wafanyabiashara

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru...

READ MORE

Rais Samia, Kenyatta Wakubaliana Kujenga Bomba la Gesi

Marais wa Tanzania na Kenya wametangaza hii leo kuwa nchi hizo mbili zimeingia makubaliano ya ujenzi wa bomba la gesi...

READ MORE

Hotuba ya Rais Samia Ikulu ya Nairobi Kenya – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Mei 05, ameanza ziara ya siku mbili nchini Kenya...

READ MORE

Kauli ya Rais Kenyatta Mbele ya Rais Samia Kenya – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Mei 05, ameanza ziara ya siku mbili nchini Kenya...

READ MORE

Rais Kenyatta Azindua Kiwanda cha Bunduki

Rais Uhuru Kenyatta amezindua kiwanda cha utengenezaji bunduki ambacho ni sehemu ya viwanda vya vifaa vya usalama wa kitaifa eneo...

READ MORE

Rais Kenyatta, Mkewe, Wapata Chanjo ya Corona

Rais Uhuru Kenyatta leo ameongoza maafisa wakuu wa serikali kupokea chanjo ya corona katika Ikulu ya Nairobi.     Baada...

READ MORE

Kenyatta: Magufuli Alikuwa Rafiki, Sina Shaka na Samia – Video

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemweleza Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli...

READ MORE

Kitendawili! Nani Kuanza Kuchanjwa Corona Kenya?

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema wahudumu wa afya ndio watakaokuwa wa kwanza kupokea chanjo ya Covid 19 kwani wapo...

READ MORE

Uhasama Kabila, Tshisekedi Funzo kwa Kenyatta, Odinga

KIONGOZI wa chama cha Wiper nchini Kenya, Kalonzo Musyoka hivi karibuni alitua katika Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) ka­tika...

READ MORE

Kenyatta: Tumechagua Maambukuzi ya Corona Kuongezeka Kenya

KATIKA hotuba yake kwa Taifa la Kenya, Rais Uhuru Kenyatta amekubali kuwa mikutano ya kisiasa iliyoshamiri katika mwezi uliopita ilichangia...

READ MORE

Chama Tawala Nchini Kenya Chapendekeza Naibu Rais wa Kenya, William Ruto Aondolewe katika nafasi yake

Chama cha Jubilee kimependekeza Naibu Rais wa Kenya, William Ruto kuondolewa katika nafasi yake kama Naibu Kiongozi wa Chama hicho....

READ MORE

Watanzania Kuingia Kenya Bila Kuwekwa Karantini

SERIKALI ya Kenya imetoa orodha ya nchi 147 ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini ambapo kwenye...

READ MORE

Kenyatta Ataka Mawaziri Kuchukua Likizo ya Lazima

RAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya amewataka mawaziri wote pamoja na makatibu katika wizara kuchukua likizo ya mapumziko ya lazima huku...

READ MORE

Rais Kenyatta: Kenya Tusijilinganishe na Wanayoficha Taarifa za COVID-19

Rais Uhuru Kenyatta amesema Wakenya hawatakiwi kujilinganisha na mataifa yasiyo uhuru wa habari na ambayo yamekuwa hayatangazi taarifa za CoronaVirus....

READ MORE

Kenyatta Atangaza Siku 3 Kumwomboleza Mkapa

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kwa nchi hiyo kuanzia Jumatatu ijayo hadi Jumatano,...

READ MORE

Rais Kenyatta Alegeza Masharti ya Kukabiliana na Corona

RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amelegeza kwa kiasi fulani sheria kali zilizokuwa zimewekwa kwa ajili ya kukabiliana na maambukizi ya...

READ MORE

Rais Kenyatta Amuonya Mwanae kwa Kutoka Nje Usiku

  RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amefichua jinsi mtoto wake wa kiume alivyovunja marufuku ya kutotembea nje iliyowekwa nchini humo...

READ MORE

Kenyatta Apunguza Mshahara Wake Kupambana na Corona

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amepunguza mshahara wake na wa makamu wake, William Ruto, kwa asilimia 80 kwa ajili ya...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Waongezeka Kenya, Kenyatta Afanya Maamuzi

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amethibitisha kisa cha tatu cha maambukizi ya virusi vya Corona na kuamuru shule zote za...

READ MORE

Rais Uhuru Awanunulia Maandazi Wafuasi Wake

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta juzi aligeuka kuwa mchuuzi wa maandazi baada ya kukabidhiwa ndoo ya maandazi na mama mmoja...

READ MORE

Kenyatta Aionya Somalia kwa ‘Uchokozi’

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta,  ameinyooshea kidole cha lawama Somalia akisema hatua ya wanajeshi wa Somalia kuingia Kenya ni kitendo...

READ MORE

Rais Kenyatta Amfanyia Sapraizi Eliud Kipchoge

MWANARIADHA wa Kenya bingwa wa Olimpiki katika mashindano ya marathon, Eliud Kipchoge, ametunukiwa tuzo ya kitaifa ya Rais Uhuru Kenyatta....

READ MORE

Rais Kenyatta Amaliza Ziara Yake Chato, Arejea Kenya – Video

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, ammaliza ziara yake ya siku mbili nchini Tanzania na kurejea nchini mwake. Katika ziara yake...

READ MORE

JPM: Kenyatta ‘Aniombe Radhi’, Hatukukubaliana Watufunge Mabao 3-2- Video

RAIS  John Magufuli, leo Julai 05, amempokea Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ambaye amewasili  nchini kwa ziara binafsi ya siku...

READ MORE

Rais Kenyatta Atua Chato, Amtaja Jaguar, Taifa Stars – Video

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta,  ameshawasili nchini leo Ijumaa, Julai 5, 2019 na kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...

READ MORE

KISA KAULI YA UFISADI, AKAUNTI ZA RAIS KENYATTA ZAFUNGWA

  AKAUNTI  za mitandao ya kijamii za Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta,  za  Facebook, na Tweeter,  zimefutwa kwenye mitandao hiyo...

READ MORE