Mr Bean aachana na mkewe kisa, kibinti
County Durham, Uingereza
Muigizaji na mchekeshaji maarufu duniani, Rowan Atkinson ‘Mr Bean’ amelazimika kutoa talaka ya haraka kwa mkewe Sunetra Sastry baada ya kugundulika kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na msichana ‘mbichi’ aitwaye Louise…
