×

Tag: kipigo

Mwanafunzi Ampiga Mwalimu Hadi Kupoteza Fahamu

JESHI la Polisi nchini Nigeria wanamshikilia mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Ilorin kwa tuhuma za kumpiga mhadhiri wa kike....

READ MORE

Wafugaji Wamshambulia Mwenyekiti

  WATU zaidi ya 20 ambao ni jamii ya wafugaji wanadaiwa kumshambulia Mwenyekiti wa Chama Cha Ushirika wa Wakulima wa...

READ MORE

Mzee wa Kupapasa Wanawake Yamkuta

  Jamaa mmoja mtaani Pipeline, Nairobi nchini Kenya anajuta kuumizwa sehemu zake za siri na kisura aliyejaribu kumdhulumu (kumshikashika bila...

READ MORE

Yamkuta Baada ya Kurithi Mke wa Jamaa Aliyezushiwa Kufa

SEKESEKE limezuka katika nyumba moja eneo la Aboloi Teso, nchini Kenya, baada ya jamaa kurejea nyumbani kwake na kumshambulia jirani...

READ MORE

DC Aingilia Kati Walinzi Kumpiga Aliyekuwa Akimuuguza Mama’ke

Sakata la Daudi Lefi aliyekuwa anamuuguza mama wake hospitali ya rufaa Mkoa wa Shinyanga kupigwa na walinzi wa Suma JKT...

READ MORE

Ashushiwa Kipigo na Askari Akimhudumia Mama Yake Wodini – Video

KATIKA hali isiyotarajiwa mwanamme aliyejulikana kwa jina la Daudi Lefi (40) amejikuta katika wakati mgumu baada ya kushambuliwa na walinzi...

READ MORE

Mtendaji Aliyempiga Mwananchi Asimamishwa Kazi

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, Hudson Kamoga, amemsimamisha kazi Ofisa Mtendaji wa kijiji cha Haydom, Adela...

READ MORE

Asimulia Anavyokung’utwa Kisa Michepuko ya Mumewe!

DAKTARI mmoja mwanamke nchini Nigeria ameibuka hadharani na kutoboa ukweli ya yanayotokea ndani ya ndoa yake kupitia manyanyaso mengi na...

READ MORE

Mwanajeshi Aliyempiga Refa Ashughulikiwa na Polisi – Video

Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) anayedaiwa kumpiga mwaamuzi Fadhil Maka aliyekuwa akichezesha mchezo kati ya Pamba FC na...

READ MORE

Majambazi Yamponza Kigogo wa Polisi

MAJAMBAZI yaliyomvamia mfanyabiashara mmoja, Mkombozi Mjaila (32) wilayani Handeni, mkoani Tanga na kumjeruhi kichwani, yamemponza kigogo wa polisi ambaye ni...

READ MORE

Polisi Yaaingilia Sakata la Mwanamke Anayeidaiwa Kufumaniwa na Mume wa Mtu

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limeanza kufanya uchunguzi kuhusu tukio la Vena Mushi kupigwa kwa madai ya kufumaniwa na mume...

READ MORE

Kisa DNA ya Watoto, Mke Achezea Kipigo Nusura Auawe

MWANAMKE mmoja nchini Nigeria amechakazwa vibaya na mwanamume anayedhaniwa kuwa ni mume wake baada ya kutokea hali yenye utata dhidi...

READ MORE

Wachina Wanne Watimuliwa Kenya kwa Kumcharaza Mkenya

  RAIA wanne wa China waliokamatwa na Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wanatarajiwa kurudishwa kwao...

READ MORE

Amshushia Kipigo Mkewe kwa Kuchinja Jogoo la Krismasi Kabla ya Sikukuu

  Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 50 kutoka wilaya ya Budaka mashariki mwa Uganda, amemjeruhi mke wake vibaya baada...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya Aburuzwa Kortini kwa ‘Kumtwanga’ Mkewe

ALIYEKUWA mkuu wa Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, Peter Toima Kiroya anadaiwa kuburuzwa polisi na mkewe Philomena Toima kwa tuhuma...

READ MORE

Bondia wa Kimataifa Afariki kwa Kipigo

BONDIA raia wa Urusi, Maxim Dadashev,  amefariki dunia baada ya pambano lake dhidi ya mpinzani wake, Subriel Matias,  kumsababishia majeraha...

READ MORE

Mrembo achomwa visu akilazimishwa penzi

WAKATI wapendanao duniani wakiadhimisha Sikukuu ya Valentine’s Day kesho (Alhamisi) kwa kila mmoja kuonesha mahaba niue kwa mwenza wake, hali...

READ MORE

MIEZI MIWILI BAADA YA NDOA…. MISS TZ AFUMANIWA, ALA KICHAPO!

DUNIA ina mambo! Wakati wanawake wengi waki­itamani ndoa ili kujijengea heshima, mambo yamekuwa tofauti kwa mshiriki wa Miss Tanza­nia 2008,...

READ MORE

40 IMETIMIA! ATUMIA FURSA YA AJALI AKIONA CHA MOTO

MOROGORO: 40 yake imetimia! Jamaa mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Chande amekamatwa na polisi akidaiwa kutumia fursa kwa kuiba...

READ MORE

POLISI WAFUNGUKA KUMSHUSHIA KIPIGO ‘HEVI’ DEREVA WA FUSO

JESHI la Polisi mkoani Songwe limeeleza sababu ya askari wa usalama barabarani kumshambulia dereva kwa kipigo kuwa alitumia lugha ya...

READ MORE

TUKIO LA KUTISHA! Mtoto Miaka 8 Acharangwa Vibaya Mgongoni

MKURANGA: Duniani kuna mengi, ukiwa mzima mambo ya kuona na kusikia yapo ya kutosha; mfano ni hili tukio la kutisha...

READ MORE

Ukatili! Mama wa Kambo Amchoma Kisu Mtoto

Mama mmoja mkoani Tanga aliyefahamika kwa jina moja la Ashura, amemchoka kwa kisu mtoto wake wa miaka nane kwa madai...

READ MORE

DENTI MWINGINE ATENGULIWA MKONO NA MWALIMU WAKE

MOROGORO: Wakati walimu wawili wa Shule ya Msingi ya Kibeta iliyopo Bukoba mkoani Kagera wakiburuzwa mahakamani wakidaiwa kumchapa viboko hadi...

READ MORE

Mgambo Waliopiga Raia Dar Wafikishwa Kortini – Video

WANAODAIWA kuwa Askari Mgambo wawili Kelvin Sawala, Goodluck Tarimo ambao ni Askari Mgambo na ofisa Mtendaji kata ya Bunju, Ibrahim...

READ MORE

Dar: Mgambo Washusha Kipigo Hevi kwa Raia Kisa Usafi – Video

IKIWA ni saa chache baada ya video kusambaa katika Mitandao ya Kijamii ikionyesha askari mgambo wakimpiga kijana Robson Orotho anayedaiwa...

READ MORE

Wanafunzi Waandamana Mwenzao Kupigwa na Mwalimu Hadi Kuzirai

WANAFUNZI wa kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Kalangalala mkoani Geita wameandamana kwenda kwenye ofisi ya Mkuu wa...

READ MORE

Mtoto Darasa la 5 Adaiwa Kuuawa kwa Kipigo cha Mwalimu

MWANAFUNZI wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Kibeta, Sperius Eradius (13) amefariki dunia akidaiwa kupigwa na mwalimu wake...

READ MORE

Figo ya Mbunge Bobi Wine Yaharibika kwa Kipigo

Wanasheria wa Mbunge wa Kyaddondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, wameitaka Tume ya Haki za Binadamu...

READ MORE

MKE ADAI KUCHOMWA KWA PASI NA MUMEWE

FARIDA Angelo (24) ni mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar ambaye ameibuka na kuangua kilio mbele ya gazeti hili...

READ MORE

Kauli ya Mambosasa Baada ya Polisi Kumshambulia Mwanahabari, Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limelaani vikali kushambuliwa kwa Mwandishi wa Habari za Michezo, Sillas Mbise...

READ MORE

TFF Yalaani Mwandishi wa Habari Kupigwa na Polisi

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini(TFF), limelaani vikali kushambuliwa kwa Mwandishi wa Habari za Michezo, Sillas Mbise.   Kupitia Afisa...

READ MORE

Mwenyekiti CHADEMA Ashambuliwa kwa Mapanga na Mishale

MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Mwikatsi wilayani Babati mkoani Manyara, Simon Lala (CHADEMA) ameshambuliwa na kujeruhiwa kwa mishale na...

READ MORE

USIOMBE Yakukute! Mama na Mwanaye Wakiona Chamoto – Video

  DAR ES SALAAM: Mkazi wa Bunju B Kwa Baharia jijini Dar, Barbara Agustino na mama yake mzazi, Jumatatu iliyopita...

READ MORE

MUME AMPA KIPIGO HEVI MKEWE, SHUHUDIA KILICHOJIRI – VIDEO

HABARI hii inasikitisha sana! Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Mudrick Abdallah amedaiwa kumpa kipigo mwanamke aliyekuwa mkewe, Fatma Addy kiasi...

READ MORE

UTAJIRI WA KIFO! MAMA YAMKUTA MAZITO KWA SANGOMA!

KUTAFUTA utajiri kwa njia za mkato hapa duniani kumewaponza wengi! Mama ambaye ni mfanyabiashara, Tabu Mwelege, mkazi wa Kijiji cha Kijiweni...

READ MORE

KIJANA ADAIWA KUUAWA KWA KIPIGO CHA POLISI

Kijana Allen Mapunda mkazi wa Kata ya Iyela anadaiwa amefariki jana Machi 25, 2018 saa chache baada ya kuachiwa kutoka...

READ MORE

MTENGENEZA KUCHA ANUSURIKA KUUAWA NA MUME WA AFANDE

KIJANA mmoja anayejulikana kwa majina ya Khamis Ally amejikuta akipitia wakati mgumu kutokana na aina ya kazi anayoifanya ya kupaka...

READ MORE

KISA NGUO YA NDANI, BOSI AMPA KISAGO KIZITO HOUSE GIRL

MFANYAKAZI wa ndani (hausigeli) aliyefa-hamika kwa jina la Katalina John anayefanya kazi hizo kwa Lyina John (30) mkazi wa Mhongolo wilayani Kahama,...

READ MORE

Sharobaro Yamkuta Mazito Muhimbili!

SHAROBARO mmoja ambaye jina lake halikujulikana mara moja wikiendi iliyopita alikutwa na mazito ndani ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...

READ MORE

Mtoto wa Mchungaji Apewa Kipigo Kanisani, Apasuliwa Kichwa

  DUNIA inatisha! Katika hali ya kushangaza mtoto wa mchungaji wa Kanisa la Emmaus Bible Church Pentecost lililopo Mlandizi, Pwani,...

READ MORE