Mume, Mke Wachinjwa Kisa Shamba
WAKAZI wa Kijiji cha Masengwa wilayani Shinyanga, Manyara Ndelema (48) na mkewe Nyamizi Mserengeti (40), wameuawa kwa kuchinjwa shingoni kwa madai ya kuwapo migogoro ya mashamba ya kifamilia.
Inadaiwa kuwa Ndelema alinunua…
