Mume Aliyemn’gata, Kumpiga Sufuria Mkewe Apandishwa Mahakamani – Video
Hamza Omary (38), fundi Selemala na mkazi wa Luchelele, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo ya Mkuyuni, Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, Januari 19, 2026, akikabiliwa na shtaka la kumshambulia mke wake katika Kesi ya…
