×

Tag: madawa ya kulevya

Watu watano Wakamatwa Nigeria Wakiwa na Tani 1.8 za Madawa ya Kulevya

WATU watano, meneja wa ghala na wafanyabiashara wa dawa za kulevya wanne akiwemo mmoja aliyetajwa kuwa raia wa Jamaica walikamatwa...

READ MORE

Muuza Madawa ya Kulevya Maarufu wa Mexico Rafael Quintero Akamatwa

Mamlaka nchini Mexico zimemkamata mfanyabiashara maarufu wa dawa za kulevya Rafael Caro Quintero, ambaye alikuwa kwenye orodha ya FBI ya...

READ MORE

Droni Zanaswa Zikisafirisha Dawa za Kulevya Nchini Hispania, Zinabeba Hadi Kilo 200

JESHI la Polisi nchini Hispania wamekamata droni tatu zisizo na rubani za kutumiwa chini ya maji zilizotengenezwa kusafirisha dawa za...

READ MORE

Kabla ya Kifo Chake Maunda Zorro Alikanusha Kutumia Madawa ya Kulevya-Video

MAREHEMU Maunda Zorro kabla ya kifo chake alifanya mahojiano marefu na Global Radio pamoja na Global TV ambapo alielezea safari...

READ MORE

Video: Akutwa Na Magunia 25 Ya Madawa Ya Kulevya, RCP Azungumza

 JESHI la polisi mkoa wa kipolisi wa Temeke, linamshikilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 34, Frank George, mkazi...

READ MORE

Sakata la Kukutwa na Madawa: Shamim na Mumewe Wafikishwa Kortini

MFANYABIASHARA Abdul Nsembo ‘Abdukandida’ (45) na mkewe Shamim Mwasha (41) ambao ni wakazi wa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam,...

READ MORE

Madawa ya Kulevya Yamuua Kaka’ke Eric Omondi!

KAKA mkubwa wa mchekeshaji maarufu, Eric Omondi, Joseph amefariki dunia huku dawa za kulevya zikitajwa kuwa ndiyo chanzo.  Saa chache kabla...

READ MORE

Moshi: Mzungu Ahukumiwa Jela Maisha kwa Madawa ya Kulevya

  KILIMANJARO: Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imemhukumu kifungo cha maisha jela mwanamuziki Christina Biskasevskaja (26) raia wa Lithuania kwa...

READ MORE

KAMISHNA: WAUZA UNGA SASA KUTUPWA JELA MAISHA (Video)

  Mamlaka ya Kuzuia na Kupamba na Madawa ya Kulevya (DCEA) nchini, imetoa ufafanuzi juu ya Marekebisho ya Sheria Namba...

READ MORE

CHID BENZ: ISHU YA MADAWA NI KIKI?

MWANZONI mwa mwezi Julai, mwanamuziki mwenye jina kubwa kwenye tasnia ya Muziki wa Hip Hop, Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’...

READ MORE

TISHETI NA JINZI ZA MANJI VYAIBUA MAPYA

  Huku akitia huruma, baadhi ya wananchi jijini hapa wameibua gumzo kuhusiana na nguo anazovaa mfanyabiashara maarufu, Yusufu Manji ambaye...

READ MORE

TID: SIJARUDIA MADAWA JAMANI

  MKONGWE kunako Muziki wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’ amewajia juu wanaoendelea kumhusisha kurudia matumizi ya madawa ya kulevya...

READ MORE

CHIMBO LA MASTAA WABWIA UNGA LANASWA

HILI ni janga! Miezi kadhaa baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuchimba mkwara mzito kwa...

READ MORE

Yaliyojiri Kortini Kesi ya Kutumia Dawa za Kulevya Inayomkabili Masogange

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Julai 13, 2017 imekwama kuanza kusikiliza kesi kuhusu kutumia dawa za kulevya inayomkabili...

READ MORE

Kemikali za Kutengeneza ‘Unga’ Zakamatwa Dar

Mamlaka ya Kupambana na Kuthibiti Madawa ya Kulevya ‘unga’, leo imekamata na kukagua kontena mbili zenye kemika zaidi ya lita...

READ MORE

GlobalNewsAlert: Lita 6,694 za Kemikali za Kutengenezea Dawa za Kulevya Zakamatwa Dar

DAR ES SALAAM: Kamishna wa Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za Kulevya nchini, Rogers Sianga amesema wamekamata kiasi cha...

READ MORE

Waziri Mkuu Afungua Kongamano la Bakwata Kuhusu Madawa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefungua rasmi kongamano Maalum la Kujadili Mmomonyoko wa Maadili na...

READ MORE

Wema Atajwa Majanga Mawili ya Makonda…

DAR ES SALAAM: Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu anatajwa kuhusika na majanga yanayomkumba Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul...

READ MORE

Sakata la Makonda: Mbwana Samatta Aandika Haya

BAADA ya kuvamiwa kwa Kituo cha Redio cha Clouds Fm, imeibuka mijadala mingi, Watanzania wakaijadili kila kona ya nchi. Katika...

READ MORE

Sauti ya Mama Wema Ingenitoa Roho – Steve Nyerere

IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI | Mikito Nusunusu| DAR ES SALAAM MCHEKESHAJI maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefunguka kuwa,...

READ MORE

Ridhiwani Afunguka Tena Tuhuma Dawa za Kulevya

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amezungumzia suala la marafiki zake kuhusishwa na biashara ya dawa za kulevya huku akisisitiza kwamba...

READ MORE

Diamond Ampongeza Makonda Dar

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva,  Nasib Abdul ‘Daimond Platnumz’, amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Paul Makonda...

READ MORE

Zicheki Picha za Wema Akiwa Mahakamani Asubuhi Hii

MSANII wa Bongo Muvi na malkia wa mtandao Bongo Wema Sepetu, ‘Madam’, asubuhi hii amefika katika mahakama ya mkazi Kisutu...

READ MORE

Makonda Achezewa Sharubu!, Vijana Wamjaribu Mchana Kweupe

Na MECKION MATHEW| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI DAR ES SALAAM: UKAIDI! Wakati wakazi mbalimbali wa Jiji la Dar es Salaam na...

READ MORE

Makonda Apigwa Kombora Namba 2

  Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA IJUMAA| HABARI DAR ES SALAAM: WAKATI nchi ikiwa imelipuka na kumpigia kelele za kutaka...

READ MORE

SIRRO: Tunamchunguza Vanessa Mdee

DAR ES SALAAM: Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro amethibitisha kuwa jeshi lake linaendelea kumshikilia staa...

READ MORE

Mambo 6 Yanayomponza Paul Makonda

DAR ES SALAAM: Bado Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (36) anaendelea kutajwa kwenye vinywa vya Watanzania...

READ MORE

Mwana: Tuungane Kuukabili ‘Unga’

WAKATI Taifa likiwa katika vita dhidi ya matumizi, usambazaji na usafi rishaji wa madawa ya kulevya ‘unga’, muigizaji wa filamu...

READ MORE

Makonda Awajibu Wanaomtuhumu Mkewe

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewajibu wote wanaosema katika mitandao ya kijamii, kuwa mkewe si raia...

READ MORE

Mtaalam: Bila Kukubali Kosa, Mastaa Hawa ndo`basi Tena!

Na SIFAEL PAUL| IJUMAA WIKIENDA| OVER ZE WEEKEND WAKATI watu mashuhuri kama wanasiasa na mastaa wakihusishwa na ishu ya madawa...

READ MORE

Makonda: Mafanikio Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya Yaonekana

MKUU  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema kelele zinazoendelea dhidi yake ni dalili za mafanikio katika vita...

READ MORE

Serengeti Boys Waitembelea Sober House ya Bagamoyo

NA MUSSA IBRAHIM BAGAMOYO: Wachezaji wa Timu ya Soka ya Taifa ya Vijana Chini ya Miaka 17 (Serengeti Boys) wamefanya...

READ MORE

Serikali Yanunua Mtambo wa Kisasa wa Kutambua DNA, Dawa za Kulevya, Sumu na Madini

SERIKALI kupitia Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imenunua mtambo mpya na wa kisasa wa aina ya Energy...

READ MORE

Wabunge Wamlipua Steve Nyerere

DAR ES SALAAM: Kusambaa kwa sauti iliyorekodiwa mazungumzo ya mwigizaji Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ na mama wa Miss Tanzania 2006,...

READ MORE

Wala Sio Makonda; Aliyeleta Balaa Hili la Madawa ya Kulevya ni Huyu

Na ELVAN STAMBULI| GAZETI LA UWAZI| NIJUAVYO MIMI KILA kona hivi sasa katika nchi yetu, mjadala mkubwa ni vita dhidi...

READ MORE

Tiba Sahihi Waathirika wa Madawa ya Kulevya!

WAKATI serikali ikipambana kwa nguvu zote kuhakikisha inadhibiti uingizaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya nchini, Kituo cha Changamoto ni...

READ MORE

Daz Baba Atokwa na Povu Kisa Madawa

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI LA AMANI| SHOWBIZE EXTRA MWANAMUZIKI mkongwe wa Bongo Fleva aliyewahi kubamba na Kundi la Daz Nundaz,...

READ MORE

Wazo Langu Limefika; Nakushukuru Waziri Mkuu Majaliwa, Umenena

Na ERIC SHIGONGO| GAZETI LA UWAZI| NAPASUA JIPU NAAMINI kwamba wasomaji wote wa safu hii hamjambo, kama hivyo ndivyo basi...

READ MORE

Vijana Msiache Sifa ya Ujasiri Iwe ya Paul Makonda Peke Yake

HADITHI: Na Eric Shigongo | IJUMAA WIKIENDA| KUMBUKUMBU ZA KWELI ZA MAISHA YANGU ILIKUWA ni wiki ya hekaheka, vyombo vyote...

READ MORE