ASALI Shoga wanakwambia raha ya mwanaume awe na madeni na mwanamke sharti alijue jiko siyo kukalia umbea hadi domo limekaa...
READ MORENdugu zangu huko mtaani tunakoishi kuna watu ambao wamekuwa wakitumia nguvu kubwa sana kuhakikisha wanawapata wale ambao wametokea kuwapenda. Unamkuta...
READ MORENI Ijumaa nyingine tunakutana kwenye uwanja wetu huu mujarabu wa kupeana elimu ya kuboresha uhusiano wako. Niende moja kwa moja...
READ MORENI Alhamisi nyingine tunakutana tena kwenye ukurasa huu wa kupeana elimu juu ya uhusiano na mapenzi. Leo nazungumzia juu ya...
READ MOREENDELEA kuamini kopo la msalani wakati wenzako tunaliamini taulo, kwanza linatunza siri, hata urudie kujifutia sehemu hiyohiyo halisemi kitu, upo...
READ MOREMUNGU ni mwema! Ni Jumatatu nyingine tunakutana kwenye ulimwengu wetu wa mahaba. Uwanja wetu maridhawa wa kupeana darasa kuhusu maisha...
READ MOREHAKUNA kitu kinauma kama kuachwa. Anayeachwa huwa anakuwa hayupo tayari kukubali matokeo. Aliyemuacha mwenzake anakuwa amejiandaa wakati mwenzake hajajiandaa. Ni...
READ MOREWIKI iliyopita nilileta mada hii kwenu na kwa kweli mwitikio wake umekuwa mkubwa hivyo ngoja nimalizie ujumbe wangu niliolenga kuufikisha....
READ MOREUHUSIANO wowote wa mapenzi huwa unakuwa na changamoto kwani hukutanisha watu wawili ambao wamelelewa katika maadili tofauti. Yawezekana mmoja anaweza...
READ MOREHakuna ubishi kwamba hisia za mapenzi hasa pale unapompata mtu sahihi, huufurahisha na kuuburudisha sana moyo. Lakini wakati huohuo, hakuna...
READ MOREDUNIA ya sasa kumpata mtu mwenye mapenzi ya dhati, mwenye moyo wenye huruma, anayejali na ambaye ana hofu ya Mungu...
READ MOREWAKATI fulani huwa najiuliza kwa nini tunakuwa na wapenzi, kwa nini mapenzi yakawepo? Kwa nini tunaoa ama kuolewa? Kwa nini...
READ MOREKATIKA mada hii ambayo imeanza wiki iliyopita, tunajifunza namna ya kumtambua mwenzi ambaye amepoteza uwezo wa kupenda. Tayari tumeshaona dalili...
READ MOREHEYAHEYA, acha nicheke miye kwani sidaiwi na mtu, navuta hewa ya bure ya nini kujibana, najiachia nitakavyo. Kama hewa ingekuwa...
READ MORENI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia uwanja huu wa mahaba. Ni eneo pekee ambalo unaweza kujifunza mambo ambayo yanaweza...
READ MORELEO tunaangalia mada muhimu sana katika mapenzi, nachambua juu ya migogoro ambayo inaweza kutokea kati yako na mwenzio, je, unaimalizaje?...
READ MOREALHAMISI nyingine imewadia ambapo tumekutana katika uwanja huu, ambao tunajifunza mambo mbalimbali kuhusu uhusiano. Naamini ukurasa huu unakusaidia kukuza ufahamu...
READ MOREUNANISHA-NGAA wakati umeshindwa kuyalinda maboga utaweza wapi matikiti maji weyeee! Haloooo eeeehhh wanakwambia kuvimba kwa mchele hakushtui mwiko shoga na...
READ MOREWIKI hii nitazu-ngumzia sifa 6 za mwanaume ambaye anastahili kuwa mumeo. Nafanya hivi ikiwa ni msaada kwa wale ambao wamefikia...
READ MOREUKWELI ni kwamba wanawake wakiwapenda wanaume hubaki na mateso mioyoni mwao. Hii ni kwa sababu ni vigumu kumtokea mwanaume moja...
READ MORESIPENDI na wala sitaki kusikia kwani unamkosesha raha mtoto wa mwenzio, kuku wako mwenyewe kwa nini akushikie manati. Kwa nini...
READ MORENASHUKURU kwa wote mlionipongeza kwa kupata mafunzo ambayo hawakuyapata hapo awali, siyo wote wamepitia mafunzo ya utaratibu wa maisha wa...
READ MOREMoja kati ya kosa kubwa ambalo watu wengi wanalifanya ni kutothamini hisia. mahusiano mengi yamevunjika kwa sababu tu ya mmoja...
READ MOREHISIA za mapenzi hutokea ndani kabisa ya moyo. Kila mmoja ana uhuru na haki ya kupenda. Huwezi kuchaguliwa wa kumpenda!...
READ MORENI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba Mungu ameendelea kukupa ulinzi. Pia niwatakie kila la heri...
READ MORENI Ijumaa nyingine murua kabisa tunapokutana kwenye uwanja huu mzuri, mahali tunapojuzana kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi na...
READ MOREHALOOOOO EEEHHHH wanakwambia raha ya tembele liwe na mafuta mengi, upo nyonyo! Mjini mjini tu kama umezoea maghorofa wenzako tumezoea...
READ MOREASSALAM Alaikum! Ni furaha yangu kwa mara nyingine tena kukutana nawe kwenye safu yetu hii ya Love Zone. Tumshukuru Muumba...
READ MOREMPENZI wako anapokuambia anakupenda, inatosha kweli kukudhibitishia kuwa anakupenda kwa dhati na uendelee kumwamini? Hapa kila mmoja anaweza kuwa na...
READ MORENIANZE kwa kuwatakiwa Waislamu wote nchini mfungo mwema wa Mwenzi Mtukufu wa Ramadhani. Ni kipindi cha kufanya ibada, kujinyima kula...
READ MOREKWA kawaida mwanzo wa uhusiano, huba na kila aina ya manjonjo kwenye mapenzi hutawala. Huwa na vitu vingi sana vya...
READ MOREHUU ni uwanja wa boyfriend and girlfriend ambao hutoa mwanga kwa wasichana na wavulana walio kwenye uhusiano na ambao wanatarajia...
READ MORESHOGAA eeeeh kwanza una kifua? Nisije sema neno hapa ukadondoka kwa kukosa pumzi bureee! Heee heeeiyaa wanakwambia kigodoro hakina muziki...
READ MOREU HALI gani mpenzi msomaji wangu wa safu hii. Karibu tena kwenye eneo lako hili la kujidai ambalo linayaweka sawa...
READ MOREWATAALAM wa masuala ya mapenzi wanaeleza kuwa, unapokuwa katika uhusiano na mtu uliyetokea kumpenda sana, usimkabidhi moyo wako wote kwanza. ...
READ MOREWAPENDWA wasomaji wangu, leo tunaendelea na mada yetu ambapo tunaingia katika sehemu ya mwisho. Wakati fulani unaweza kukuta watu mtaani...
READ MOREKUPATA mwenzi bora wa maisha siyo mchezo, lazima ubongo wako ufanye kazi sawasawa ili uweze kugundua kwamba mpenzi uliyenaye anafaa...
READ MORESHOGA shangaa-shangaa mjini hapa, kama ni msimu embe subiri mwisho wa mwaka ndiyo hizooo zaja, uongo? Ukitaka kujifunza mbio wanasema...
READ MOREHALOOOOO eeeh shoga yangu mwenzako namshukuru Jalali kwa kunijalia uzima ulioniwezesha kuonana nawe katika uga wetu huu tunaozungumzia ishu za...
READ MOREUNAPOKUWA umeingia kwenye ndoa na mwanamke, utambue ana wanaume wengi wanaomtaka lakini huenda anawakatalia kwa kuwa yuko na wewe. ...
READ MORE