The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

manara

Manara Kuhama Nchi

MSEMAJI wa Klabu ya Young Africans, Haji Sunday Ramadhani Manara ameweka nadhiri ya kuhama nchi, endapo klabu hiyo itashindwa kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara msimu huu 2021/22. Manara ameweka nadhiri hiyo akiwa kwenye…

Haji Manara Awaombea Simba

Baada ya kutoka kwa taarifa ya mechi ya Kagera na Simba kuahirishwa kwa sababu ya wachezaji wa Simba kuumwa mafua na kifua, Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amewaombea wachezaji wa klabu hiyo ili kuendelea na majukumu…

Azam FC Yamuibua Manara

Afisa Habari wa Yanga,Haji Manara amesema kuwa licha ya kutambua ubora wa Azam FC lakini anaamini kuwa kikosi cha Yanga kina uwezo mkubwa wa kuondoka na ushindi mbele ya Azam FC. Yanga Oktoba 30, katika Uwanja wa Benjamini Mkapa…

Ifahamu Historia ya Haji Manara

Miaka ya 1970, Tanzania ilimshuhudia Sunday Manara, mzaliwa wa Kigoma aliyejaaliwa ufundi wa kusakata kabumbu. Sunday alifahamika kama ‘computer’ kutokana na ufundi wake wa kipekee uwanjani. Januari 18, 1976, Sunday Manara…

Haji Manara Apata Ajali

Msemaji wa Yanga Haji Manara amekiri kupata ajali ‘mbaya’ ya gari jana usiku Jijini Dar es salaam na kusema alinusurika kwenye ajali hiyo ambayo imeliacha gari lake likiwa limeharibika vibaya. Haji ameyasema hayo wakati akieleza…

Irene Paul Amfuata Manara Yanga

IKIWA ni saa chache baada ya aliyekuwa msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara kutangaza kujiunga na Klabu ya Yanga, msanii wa Bongo Movies, Irene Paul ameonyesha kuguswa na jambo hilo na kuamua kuandika haya. "Kaka yangu…

Manara Avuruga Mashabiki Unguja

BAADHI ya mashabiki wa mpira wa miguu Unguja wamesema msimu wa 2021-2022 wa Ligi Kuu Bara hautakuwa na msisimko mkubwa kutokana na kung’atuka kwa aliyekuwa msemaji wa Simba Sc, Haji Manara. Haji Bakari Haji, shabiki wa…