The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Manchester United

Rashford Ateta na Obama

MSHAMBULIAJI wa Manchester United na England Marcus Rashford, amezungumza na aliyekuwa rais wa Marekani Barrack Obama kuhusu jinsi vijana wanaweza kuchangia katika jamii. Rashford , 23, aliongoza kampeni ya kukabiliana na…

Lingard Aikataa Man United

NYOTA wa West Ham United, Jesse Lingard imeelezwa kuwa hana mpango wa kurejea kwenye timu yake ya Manchester United. Lingard kwa sasa anakipiga West Ham kwa mkopo tangu Januari mwaka huu, akitokea Man United na akiwa kwenye…

Man U Kumfukuza Ole, Pochettino Atajwa

KIBARUA  cha Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, huenda kikaota nyasi kutokana na mfululizo wa matokeo yasioridhisha.  Hatua hiyO inakuja  ikiwa baada ya  jana usiku kutoka kupokea kichapo cha mabao 2-1  dhidi ya Istanbul…

Man United Yachezea Kichapo Dhidi ya Arsenal

KOCHA wa Arsenal, Mikael Arteta,  amevunja mwiko baada kushinda  dhidi ya Manchester United kwenye mechi ya ligi  ya Uingereza kwenye uwanja wa Old Trafford, tangu walipofanya hivyo mwaka 2006 ikiwa imepita miaka 14. …

Solskjaer Amuhofia Arteta

BOSI wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema anatarajia kuwa na mchezo mgumu mbele ya Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta kutokana na jinsi alivyoanza kwa mafanikio akiwa na timu hiyo leo Jumapili, Man United na Arsenal zitashuka…

Man United chali, Chelsea wapeta

WAKATI Manchester United ikipigwa nyumbani, wenzao Chelsea walishinda kwa mara ya kwanza mechi ya Ligi Kuu England jana. Manchester United ilijikuta ikipokea kipigo cha mabao 2-1 kwenye uwanja wao wa Old Trafford kutoka kwa…

Lukaku anukia Inter Milan

INTER Milan imethibitisha kuwa ipo kwenye harakati za kumsajili straika wa Manchester United, Romelu Lukaku. Kocha wa Inter Milan, Antonio Conte anamtaka Lukaku ili kuongeza nguvu kwenye fowadi yake. Mkurugenzi wa Ufundi wa…

POGBA ANAKULA BATA DUBAI

BAADA ya msimu wa Ligi Kuu England kumalizika, staa wa Manchester United, Paul Pogba ameamua kwenda Dubai na mchumba wake, Maria Salaues na mtoto wao kula bata. Wawili hao walitupia picha kwenye Mtandao wa Instagram wakiwa…