Marouane Fellaini Alambwa Redi, Manchester Derby Ngoma Droo (Video)
Baada ya tambo za muda mrefu hatimaye mchezo wa Manchester City na Manchester United umemalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu kwenye Uwanja wa Etihad jijini Manchester.
Licha ya kuwa wenyeji Man City ndiyo waliokuwa wakipewa nafasi ya…
