Mastaa 10 Yanga Kuikosa Mbao FC
KIKOSI cha Yanga SC kitashuka tena uwanjani Jumamosi ya Januari 29, 2022 kucheza na klabu ya Mbao FC ya jijini Mwanza katika mchezo wa kombe la shirikisho la Azam.
Awali, mchezo baina ya Yanga SC Vs Mbao FC ulipangwa kuchezwa katika…
