×

Tag: mbosso

Mbosso – Kunguru (Official Audio)

Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Mbwana Yusuf Kilungi maarufu kama Mbosso Mei 18, 2024 ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa...

READ MORE

Gonjwa Lamtesa Mbosso, Mwenyewe Aeleza Alivyolipata, Ashauri Watu Kupima Mapema

Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Mbwana Yusuf Kilungi maarufu kama Mbosso amefunguka kuhusu tatizo la ugonjwa wa moyo ambalo limemwandama...

READ MORE

Mbosso Afichua Bifu Lake na Aslay, Ataja Kilichoiua Yamoto Band

  MBOSSO Khan; ni staa mkubwa wa Bongo Fleva ambaye amefichua kuhusu bifu lake la moto na memba mwenzake wa...

READ MORE

Mbosso: Nina Muda Mrefu Sijawasiliana na Aslay

MKALI wa Bongo Fleva mwenye kupendelea mahadhi ya pwani, Mbosso amefunguka kuhusu uhusiano wake na wasanii waliokuwa wenzake kunako yamoto...

READ MORE

Mbosso Afunguka Kuhusu Aslay, Enock Bella & Beka Flavour

STAA wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi, Mbosso amefunguka kuhusu uhusiano wake na wasanii waliokuwa wenzake katika...

READ MORE

Otile Acharuka! Zuchu & Mbosso Punguzeni Mazoea

MSANII maarufu kutoka 254 nchini Kenya, Otile Brown amedai kuchukuliwa melody zake za wimbo wa ‘baby love’ kutumika kwenye wimbo...

READ MORE

Mbosso Anakimbiza Mwizi Kimya Kimya

NI miaka kadhaa sasa tangu mwamba huyu asajiliwe kwenye Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), lakini mambo anayoyafanya kimyakimya ni...

READ MORE

Mbosso Ft Diamond Platnumz – Baikoko (Official Music Video)

 STAA wa muziki wa Bongo Fleva anayekiwasha chini ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf ‘Mbosso’ Aprili...

READ MORE

Diamond Aanika Uzinduzi Albamu ya Mbosso – Video

Mkurugenzi wa Lebo ya WCB, Diamond Platnumz ametangaza uzinduzi wa Albamu ya msanii wake, Mbosso iitwayo ‘Definition of Love’ ambapo...

READ MORE

Mbosso Kuanzisha Lebo Yake Wasafi, Afunguka

BADO upepo unazidi kutikisa ndani ya lebo kubwa ya muziki wa Bongo Fleva, Wasafi Classic Baby (WCB), baada ya Raymond...

READ MORE

Mbosso – Yalah (Official Music Video)

 STAA wa muziki wa Bongo Fleva anayekiwasha chini ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf ‘Mbosso’ ameachia...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Mbosso Aachia Album Yake ya Kwanza “Definition Of Love”

STAA wa muziki wa Bongo Fleva anayekiwasha chini ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf ‘Mbosso’ ameachia rasmi...

READ MORE

Lava Lava Ft Mbosso – Basi Tu (Official Audio)

 MSANII wa Bongo Fleva, kutoka Lebo wa WCB, Lava Lava  leo Februari 12, 2021 meiachia rasmi EP yake “Promise”...

READ MORE

Diamond, Zuchu, Rayvanny… Walivyowasili Kahama – Video

WANAMUZIKI kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) wakiongozwa na CEO, Diamond Platnumz, wamewasili salama Kahama mkoani Shinyanga usiku wa kuamkia Novemba...

READ MORE

Wasanii 6 wa Bongo Fleva Waliotikisa 2020

MUZIKI wa Bongo Fleva una wasanii wengi waimbaji; kazi yao ni moja tu, kutoa burudani kwa mashabiki wao ambao ndio...

READ MORE

MBOSSO asimulia msoto kuvunjika Yamoto

STAA wa muziki wa Bongo Fleva anayekiwasha chini ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf ‘Mbosso’ amesimulia msoto...

READ MORE

Mbosso Avunja Ukimya Vita Yake na Aslay!

STAA wa muziki wa Bongo Fleva na memba wa lebo kubwa ya muziki Bongo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana...

READ MORE

Mbosso Kwenye Tuhuma Kama Zuchu!

DAR: Memba mwingine wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf ‘Mbosso Khan’ ameingia kwenye tuhuma nzito ya wizi...

READ MORE

Mbosso Alamba Dili Nono

MWANAMUZIKI maarufu wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi (WCB), Mbwana Yusuph Kilungi maarufu kwa jina la Mbosso, ametangazwa kuwa...

READ MORE

Gonjwa Linalomtesa Mbosso!

Staa mwingine wa Bongo Fleva anayetumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuph Kilungi ‘Mbosso Khan’ amekiri kuteswa na...

READ MORE

Mbosso Akosa Mamilioni!

MWANAMUZIKI pendwa wa Bongo Fleva, Mbwana Yusuf Kilungi ‘Mbosso Khan’ anayetumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), ameeleza namna alivyokosa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mbosso: Sioi Leo Wala Kesho!

KWENYE playlist yako ya wakali wa Bongo Fleva, huwezi kuacha jina la dogo anayetumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB)...

READ MORE

Ukweli Mbosso Kupewa Gari la Tanasha

MAMBO ni mengi sana mjini. Unaambiwa wananzengo wamepiga kelele sana huko Instagram kwamba gari analotamba nalo staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Nunua Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Imefichuka… Aslay, Mbosso Tifu Zito!

DAR: Kama ulikuwa unatarajia kolabo kati ya mafahali wengine wawili wa Bongo Fleva; Aslay Isihaka Nassoro na Mbwana Yusuph Kilungi...

READ MORE

Nunua Gazeti la CHAMPIONI na IJUMAA Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la CHAMPIONI  na Gazeti la IJUMAA kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mbosso Amwagana na ‘Mkewe’, Amkumbuka Marehemu Martha

  HABARI zinazosambaa kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii zinadai kwamba msanii wa Bongo Fleva, Mbosso,  ameachana na mzazi mwenzake...

READ MORE

Balaa la Mbosso Christmas Kutikisa Dar Live

  MSANII wa Bongo Fleva, kutoka Label ya WCB Wasafi, Mbwana Yusuph Kilungi  maarufu kama Mbosso Khan amefunguka kufanya maajabu...

READ MORE

Mboso: Krismasi Hii Dar Live Patakuwa Hapatoshi

MKALI anayekimbiza kunako Bongo Flevani akitokea Usafini, Mbwana Yusuf Kilungi ‘Mbosso Khan’, ameapa kufanya balaa siku Krismasi Desemba 25, ndani...

READ MORE

Mbosso: Krismasi Hii Dar Live Hapatoshi!

MKALI anayekimbiza kwenye Bongo Fleva akitokea Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf Kilungi ‘Mbosso Khan’, amefungukia shoo yake...

READ MORE

Mrembo Mbosso Akinikataa, Najiua!

IKIWA umepita mwezi tangu asherehekee na mpenzi wake 40 ya mwanaye, mrembo mmoja kutoka Mombasa, Kenya aliyejulikana kwa jina moja...

READ MORE

Meneja wa Mbosso Naye Aondoka Wasafi

DAR ES SLAAM: Bado upepo siyo mzuri ndani ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB)! Siku chache baada ya mwanamuziki...

READ MORE

Mbosso Atoboa Siri ya Kubaki WCB

WAKATI memba mwenzao wa Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Harmonize akidaiwa kuondoka lebo hiyo, mkali wa Bongo Fleva, Mbosso ametoboa siri...

READ MORE

Queen Darleen amfanyia kufuru Mbosso

DADA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ hivi karibuni alimfanyia kufuru msanii mwenzake, Yusuf...

READ MORE

Maskini Mbosso: Aanika Siri Nzito na Marehemu Martha

MSANII wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya WCB, Mbosso, ameamua kuweka wazi siri ya muda mrefu iliyokuwepo kati yake na...

READ MORE