Yanga Kutesti Mitambo Dhidi ya Mbuni FC Leo
VINARA wa Ligi Kuu Bara Yanga leo watakuwa na kazi ya kutesti mitambo kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni FC.
Saa 10:00 jioni mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ikiwa ni kwa ajili ya hesabu za…
