Msikiti wa Samatta Waanza Kutumika – Video
WAKAZI wa Vikindu Kidubwa Mkoa wa Pwani, wameanza kuutumia msikiti unaojengwa na mshambuliaji wa Fenerbahce, Mtanzania, Mbwana Samatta, licha ya kutokamilika.
Samatta alianza kuujenga msikiti huo mwaka 2018 wakati…
