Said Mecki Sadiki Ataja Sababu za Kuacha Kazi ya Ukuu wa Mkoa
Aliyekuwa Muu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecki Sadiki , amesema ameamua kuondoka serikalini baada ya utumishi wa muda mrefu na anakwenda kupumzika mkoani Mwanza huku akiwa mfugaji wa samaki.
Aidha Sadiki alisema pia kulingana na afya…
