RC Mwanza Atoa Saa 24 Kompyuta iliyoibwa ipatikane Ukerewe
Mkuu wa mkoa wa mwanza John Mongella.
Mkuu wa mkoa wa MWANZA John Mongella ametoa saa 24 kwa kamanda wa Polisi Wilaya ya Ukerewe Ally Mkaripa, kuhakikisha wanaitafuta hadi kuipata komputa iliyoibwa usiku wa kuamkia April 22,…
