×

Tag: Mobeto

Kufuru! Mobeto Ajizawadia Gari ya Kifahari – Video

Mwanamitindo na mwanamuziki, Hamisa Mobeto, amefanya birthday yake usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Desemba 16, 2019.

READ MORE

Wema Amtolea Povu Mobeto

MWANADA SHOSTI wa Bongo Muvi, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ametoa povu si la nchi hii, kisa staa mwenzake, Hamisa Mobeto...

READ MORE

Mobeto Aamsha Yaliyolala Wasafi

DAR ES SALAAM: Mambo yametaradad! Unaambiwa mrembo Hamisa Mobeto amesababisha tukio baada ya kupostiwa kwenye ukarasa wa Wasafi TV, Instagram....

READ MORE

Mama Mobeto Mwingine Ajitokeze!

BAADA ya madai kuzagaa kuwa siyo mama mzazi, mama wa mwanamitindo na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga,...

READ MORE

Mobeto: Nipo Singo, Mama Yangu Havai Suruali – Video

Mwanamitindo Hamisa Mobeto, amesema kwa sasa hana mpenzi (yupo ‘single’), hii ni kutokana na u-bize wa kazi  nyingi alizokuwa nazo....

READ MORE

ZARI, MOBETO VITA MPYA!

MAPEMA wiki hii Mbongo- Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alifunguka mengi kiasi cha kuibua vita mpya baina ya wanawake aliozaa...

READ MORE

TANASHA ANATEMBELEA NYOTA ZA MOBETO, ZARI?

MUNGU anapoamua kukuinua ni wakati wako tu ukifika, kikubwa ni kuweka jitihada. Hivi karibuni mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Tanasha...

READ MORE

Hamisa Mobeto amepoteza mwelekeo wa maisha!

MWISHONI mwa wiki iliyopita, mwanadada Hamisa Mo­beto kwa mara nyingine ali-make headline kwenye mitandao ya kijamii, baada ya kuanza kuvujishwa...

READ MORE

ESMA: NIMEMMISI MOBETO

  WIFI zilipendwa! Dada wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond platnumz’, Esma Khan ‘Esma Platnumz’ amefunguka juu ya...

READ MORE

Saa9 Usiku…Bata la MOBETO, mama’ke acha kabisa

DAR ES SALAAM: Fedha inaongea! Wakati watu wengine wakilia ukata, mwanamitindo wa Bongo, Hamisa Mobeto na mama’ke, Shufaa Rutiginga wamenaswa...

READ MORE

BELLA, RUBY, JIDE, MOBETO WALIVYOFUNIKA USIKU WA MASAUTI

Mashabiki wa burudani usiku wa kuamkia leo walipata uhondo wa aina yake kwenye tamasha la Masauti Luxury lililofanyika Life Club...

READ MORE

VIDEO | HAMISA MOBETO – TUNAENDANA

MODEL na msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni mzazi mwenzake na Diamond Platnumz, Hamisa Mobeto baada ya kukimbiza na...

READ MORE

AIKA Afungukia Skendo za Diamond, MOBETO

NAVY KENZO moja kati ya makundi bora kuwahi kutokea kunako Muziki wa Bongo Fleva, miaka miwili ya nyuma kundi hili...

READ MORE

Kwa Hili ‘TUSI’ la Zari kwa Diamond, Wamefika Pabaya

MJASIRIAMALI maarufu Afrika Mashariki na Kati, Zarina Hassan maarufu kwa jina la Zari The Bossy Lady,  ameibua maswali baada ya...

READ MORE

Diana: Simchukii Mobeto, Ila Wema Mapenzi Kama Yote

MWIGIZAJI wa Bongo Muvi mwenye vituko lukuki, Diana Kimari amefunguka kuwa watu wengi wanasema ana bifu na mwanamitindo Hamisa Mobeto...

READ MORE

MAMA AWEKA BARAKA WIMBO WA MOBETO

MAMA wa mwanamitindo ambaye kwa sasa amejiingiza kwenye uimbaji wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga amefunguka kuwa ameamua kuigiza...

READ MORE

WEMA, MOBETO HAPATOSHI

VITA imekolea! Ni kati ya mwanadada Wema Isaac Sepetu na mwanamama Hamisa Hassan Mobeto ambapo hapatoshi kiasi cha baba wa...

READ MORE

EXCLUSIVE: BABA Diamond Afunguka Madai ya ‘Uchawi’ wa Mobeto – Video

  Baba wa Msanii wa Bondo Fleva Naseeb Abdul ‘Diamond’ Plantnumz amesema ishu ambayo inaendelea katika mitandao kuhusiana na mzazi...

READ MORE

Madai ya Uchawi: Esma Aanika Siri Nzito ya Mobeto

DADA wa staa wa Afro Pop ndani na nje ya Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan amerusha bomu lingine...

READ MORE

MADAI YA UCHAWI, MOBETO KUMBURUZA DIAMOND KORTINI!

UMESHASIKIA msemo wa: “Usipofanya utafiti huna haki ya kuzungumza?” Ukiwa bado, maana yake jifunze kupeleleza vitu kabla ya kuviongea kwa...

READ MORE

Kiroho Safi, Zari Amfariji Mobeto

DAR ES SALAAM: Kwa mara ya kwanza, mzazi mwenzake Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amevunja ukimya...

READ MORE

Diamond Afunguka: Unataka Uniloge Mimi na Mama Yangu? – Vodeo

STAA wa muziki Bongo, Diamond Platnumz amejibu kuhusu voice note inayosambaa mtandaoni ambayo inadaiwa kuwa ni ya Hamisa Mobetto akipanga...

READ MORE

Mobeto, Dullvan, Barnaba Wateuliwa Kuwa Mabalozi – VIDEO

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewateua Mwanamitindo Maarufu Bongo, Hamisa Mobeto, Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barnaba pamoja na Mchekeshaji maarufu,...

READ MORE

MOBETO: KUOLEWA NA DIAMOND SAWA; ILA…

KWA wanamitindo wakali Bongo, Hamisa Mobeto ni moja kati ya warembo ambao wanafanya vizuri na kusumbua kwenye mitandao ya kijamii...

READ MORE

Shughuli ya MOBETO Kwenye Shindano la Miss Mwanza 2018 – Video

MODEL anayetamba kwa sasa Bongo, Hamisa Mobeto amehudhuria na kupata fursa ya kuwa jaji katika Shindano la Urembo Mkoa wa...

READ MORE

 MOBETO AUMBUKA NYUMBA ALIYOPEWA NA DIAMOND

DAR ES SALAAM: Ameumbuka! Ndivyo unavyoweza kusema. Wakati tabia ya mastaa kuanika mijengo yao ya gharama ikizidi kushika kasi, mwanamitindo...

READ MORE

Mobeto Abariki Ndoa ya Lulu

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Hamisa Mobeto amebariki ndoa ya staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anayetarajiwa kuolewa hivi karibuni na...

READ MORE

Hamisa: Mimi, Mimba Tena? Si Ingetoka!

MWANAMITINDO maarufu na mzazi mwenziye mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Hamisa Mobeto amefunguka kuwa hana ujauzito kama watu wanavyoeneza uvumi huo...

READ MORE

Timu Diamond, It’s Too Much Sasa, Muacheni Hamisa!

UHUSIANO wa ki­mapenzi kati ya msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwanadada Hamisa Mobeto ndiyo ishu inayozidi...

READ MORE

Mama Mobeto Ageuka Mbogo Mvua Ya Matusi

DAR ES SALAAM: Pale mtu mzima anapoingilia mambo ya watoto kisha akatolewa nishai, ni heri akajifunza kujipanga kuliko kuzidi kupoteza...

READ MORE

MJENGO ULIOMPONZA MOBETO WANASWA

UMENASWA! Ndivyo unavyoweza kusema kwani kila mtu alikuwa na hamu ya kuuona mjengo unaodaiwa kusababisha ugomvi kati ya familia ya...

READ MORE

Mlela: Ningekuwa Diamond Ningepiga Chini Zari, Wema, Mobeto – Video

MSANII wa bongo Movies, Yusuph Mlela amefunguka na kusema angekuwa yeye ndo’ Diamond Platinumz, basi asingekuwa na uhusiano na Zari,...

READ MORE

Familia ya Diamond Yawapa Tano Zari, Wema… Mama Mobeto Atokwa Povu!

FAMILIA ya Staa wa bongo fleva, Diamond Platinumz imewa imewamwagia misifa kwa kuwachambua waliowahi kuwa wapenzi wa kijana wao huyo...

READ MORE

JOHARI Ampa Somo Mobeto

MKONGWE wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amempa somo mwanamitindo matata Bongo, Hamisa Mobeto ambaye ni mzazi mwenza wa...

READ MORE

SKENDO YA MOBETO KUAZIMA NGUO HAZARANI

UBUYU hauna saa hata ukiamka saa nane usiku unamung’unyika tu! Waswahili wanasema cha kuazima hakistiri makalio! Hayo ndiyo yamemkuta mwanamitindo...

READ MORE

Kipigo cha Mobeto, Diamond Amfananisha Mama Yake na Bondia Tyson

IKIWA ni wiki moja imepita tangu Mzazi mwenzake na Msanii Diamond Platinumz, Hamisa Mobetto achezea kichapo cha ‘Mbwa Koko’ kutoka...

READ MORE

Aunt Afungukia Kushonewa Nguo na Hamisa Mobeto

MKALI wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amefungukia kuhusiana na ishu ya kushonewa nguo na mwanamitindo Hamisa Mobeto, ambayo aliiva...

READ MORE