The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

nandy

Makabila Anamtaka Nandy

MFALME wa muziki wa singeli, Dulla Makabila ni kama anaitamani kolabo ya singeli kati yake na The African Princess 'Nandy' ifanyike. Hii imekuja baada ya Makabila kupitia ukurasa wake wa Instagram kuposti moja ya shoo…

Nandy Mjamzito?

MALKIA wa muziki wa Bongo Fleva Afrika Mashariki, Nandy The African Princess ameendelea kutrendi na tetesi za kuwa mjamzito kwa wiki kadhaa sasa. Inasemekana kuwa, Nandy au Nandera alionekana tofauti alipokuwa akizindua lipstick zake…

Nandy: Sina Bahati

SEXY lady kunako Bongo Fleva, Faustina Charles almaarufu Nandy @officialnandy au The African Princess amefunguka kwamba, si kweli kwamba, yeye ni mwenye bahati, bali anafanya kazi kwa bidii. Akistorisha Nandy au Nandera anasema kuwa,…

Nandy awafuata hukohuko nje

SEXY lady kunako Bongo Fleva, Nandy The African Princess ameamua kuwafuata mashabiki wake huko nje ya nchi baada ya kuanika ratiba ya shoo zake katika kuufunga mwaka 2021. Nandy anasema kuwa, anatarajia kufanya shoo zaidi ya 15…

Nandy Aonyesha Pete ya Uchumba

Malkia wa muziki wa Bongo Fleva kwa sasa Afrika Mashariki na Kati, Nandy ameamua kwenda kula bata  la hatari huko Dubai au Dubenga Falme za Kiarabu kwenye maraha ya dunia. Hata hivyo, ubuyu mpya mjini ni kwamba yupo kipande hicho na…

A-z Nandy Kudaiwa Mil. 260

MWANAMUZIKI Bora wa Kike wa Tanzania, Faustina Charles Mfinanga au Nandy, ameingia matatani baada ya kufunguliwa kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kwa madai ya kuingilia hakimiliki ya mwanamuziki Desire Manirapta…