Rais Samia: Nassari Alikuwa Akituchachafya Bungeni
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Februari 7, 2022 akiwa kwenye ziara Mkoani Mara amesema anashukuru kwamba taarifa zilizomfikia kuhusu utendaji wa Mkuu wa Wilaya ya Bunda Joshua Nassari ni za kumsifia kazi anayoifanya…
