Vigogo Kutosafiri Nje ya Nchi… Ndege zaruka tupu!
Rais Dk. John Pombe Magufuli.
Na Elvan Stambuli, UWAZI
DAR ES SALAAM: Tamko la Rais Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ la kupiga marufuku safari za nje kwa watumishi wa umma limeelezwa kusababisha baadhi ya ndege zinazosafirisha abiria kutoka…
