GOODLUCK GOZBERT AACHA HISTORIA MKESHA WA MWAKA MPYA TAIFA
Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Goodluck Gozbert ameacha historia kubwa katika mashabiki wake wa muziki wa injili baada ya kuwaburudisha vilivyo kwenye mkesha wa kumaliza mwaka wa 2018 kuingia mwaka 2019.…
