Omog Aanza na Washambuliaji Mtibwa
KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Joseph Omog, ameanza kuisuka safu yake ya ushambuliaji inayoongozwa na Jaffar Kibaya, Salum Kihimbwa na Kelvin Sabato.
Msimu uliopita Mtibwa ilikuwa na changamoto kubwa kwenye safu ya…
