Viongozi wa Pakistani Wanajitahidi Kuzuia Ziwa Kubwa Zaidi Kufurika Kutokana na Mafuriko
katika mkoa wa kusini-mashariki wa Sindh viwango vya maji katika ziwa la Mancher vilionekana kupanda Zaidi na kuonekana kuwa vya hatari baada ya mvua kunyesha kwa muda mrefu ambazo ni mvua za masika ambazo zimepelekea takribani ya watu…
