Hizi Hapa Faida za Kula Parachichi Kiafya
PARACHICHI ni miongoni mwa matunda yenye ladha nzuri na ni maarufu hapa Tanzania. Kutokana na utamu na wingi wake wa mafuta, unaweza kudhani siyo tunda zuri kiafya hasa kwa kuwa halina ladha aya sukari lakini ukweli tunda hilo ni msaada…
