×

Tag: Patrick Aussems

Aussems Atajwa Yanga, Mwambusi, Maxime Kukabidhiwa

Kocha mwingine aliyetajwa kuchukua mikoba hiyo, ni Mbelgiji, Patrick Aussems ambaye aliipa mafanikio Simba ya kufika robo fainali ya Ligi...

READ MORE

Patrick Aussems: Simba Kuna Viongozi ‘Waongo’

Aliyekuwa kocha wa Simba SC, Patrick Aussems ‘Uchebe’ Novemba 3, 2019 kupitia  ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter...

READ MORE

Kocha Mbelgiji Ashusha Straika Simba

SPOTI Xtra limegundua kwamba Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems tayari ana majina matatu mezani ya wachezaji atakaowasajili kwenye usajili...

READ MORE

Kocha Simba SC Aisifu Beki Yake

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems amekoshwa juu ya maendeleo ya pacha ya mabeki wake Muivory Coast, Pascal Wawa...

READ MORE

Aussems Afichua Siri Nzito Simba

LICHA ya wengi kuamini kwamba Simba itafanya vizuri msimu huu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kocha mkuu wa timu...

READ MORE

Ajibu, Kahata wapigwa ‘stop’ Simba

KOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems amewataka viungo wake kupiga pasi za haraka wakati wakiwa na mpira wakishambulia huku...

READ MORE

Mzungu Simba ampa Kapombe dk 60

KOCHA mkuu wa Simba, Patrick Aussems ameamua kumpa mbinu maalum beki wake Shomary Kapombe ya kurejea katika uwezo wake kwa...

READ MORE

Ajibu akiona cha moto Sauzi

AKIWA Rustenburg, Afrika Kusini kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu na Francis Kahata wamekiona cha moto ni baada ya...

READ MORE

BREAKING: KOCHA WA SIMBA APEWA MKATABA WA MWAKA MOJA

Kocha wa Simba Patrick Aussems amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuinoa timu hiyo. Hatua hiyo ni baada ya...

READ MORE

Simba SC kufanya sapraizi ya Mzungu Dar

SIMBA wamejiridhisha kwamba Patrick Aussems ni bonge la kocha na watampa mkataba wa sapraizi punde.   Awali kulikuwa na mvutano...

READ MORE

Kocha Simba apewa shavu jipya

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, yupo mbioni kuongeza mkataba wa kuitumikia klabu hiyo msimu ujao baada ya bodi ya...

READ MORE

Simba Yajadili Mkataba wa Mbelgiji

UONGOZI wa Simba chini ya Bodi ya Wakurugenzi, umefanya kikao kujadili kama wamuongezee mkataba kocha wao mpya, Mbelgiji, Patrick Aussems...

READ MORE

AUSSEMS AWA KOCHA BORA LIGI KUU BARA

Kamati ya Tuzo imemchagua Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems kuwa Kocha Bora wa Machi akiwashinda Kocha Mkuu wa Azam,...

READ MORE

Simba Wasingizia Jamhuri Morogoro

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, anakuna kichwa juu ya mbinu gani atumie wakati kikosi hicho kikiwa kinacheza katika Uwanja...

READ MORE

Mbelgiji wa Simba amuota straika Mbenin

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amesema bado anahitaji huduma ya mshambuliaji, Sadney Urikhob raia wa Benin kwa ajili...

READ MORE

Simba Yatumia Mbinu za Al Ahly Kuimaliza Vita

KOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems ni kama amewamaliza wapinzani wake AS Vita, baada ya juzi kuangalia kwa mara...

READ MORE

EXCLUSIVE: KOCHA SIMBA AELEZA A – Z MECHI VS YANGA – VIDEO

Makocha wa Timu zote mbili ambao ni watani wa jadi, Simba na Yanga wamesema wamejiandaa vyema kukabiliana katika mechi yao...

READ MORE

Kocha wa Mo aiwahi Yanga Taifa

MBELGIJI wa Simba, Patrick Aussems amesikia kelele za Yanga kwenye mitandao akacheka halafu akatikisa kichwa huku akichezea kidevu chake.  ...

READ MORE

Viporo vyampasua kichwa Mbelgiji

KOCHA mkuu wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji ameweka wazi kitu kinachomchanganya kwa sasa ni ugumu wa ratiba ya...

READ MORE

HAMTAAMINI KOCHA AL AHLY AINGIWA MCHECHETO

KOCHA wa Simba,Patrick Aussems anaamini asilimia zote kwamba kikosi chake kiko fiti kisaikolojia kwa mchezo wa leo usiku dhidi ya...

READ MORE

Mbelgiji: Nyie Yanga Tunakuja Kuchukua Ubingwa

  KOCHA mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems ya ameweka wazi kuwa akili yake ipo kwenye mambo mawili tu kwa...

READ MORE

Kocha Awachenjia Wachezaji Simba

KIPIGO cha mabao 2-1 walichokipata kutoka kwa Bandari juzi kiliwatokea puani baada ya jana Kocha Patrick Aussems kuwaanika juani kwa...

READ MORE

Kocha Simba si mtu mzuri, awafanyia umafia Waarabu

ILIZOELEKA katika mechi za nyumbani za Simba za Ligi ya Mabingwa Afrika, kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems...

READ MORE

Mbelgiji Wa Simba Aigomea Yanga SC

KOCHA mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems amesema katika mechi zao 24 za Ligi Kuu Bara zilizobaki, hawatafungwa kwenye uwanja...

READ MORE

Mbelgiji Ajifungia Kuwasoma Nkana

WAKATI Simba ikitarajiwa kupambana na Nkana FC ya Zambia, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, jana mchana alitumia muda wake...

READ MORE

Mbelgiji Simba Aipigia Hesabu Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems ameweka wazi kuwa hana mpango wa kuifuatilia kasi ya Yanga kwa kuwa sasa...

READ MORE

Rekodi ya Mbelgiji Simba ni noma

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, Jumatano iliyopita, alitimiza siku 19 ndani ya kikosi hicho akifanya kazi bila kuwa...

READ MORE

TFF WAMSHANGAA MBELGIJI WA SIMBA

  Kocha wa Simba, raia wa Ubelgji Patrick Aussems SHIRI-KISHO la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limemshangaa kocha wa Simba,...

READ MORE

MBELGIJI SIMBA: SINA HOFU YA KUFUKUZWA

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, ameweka wazi kuwa, hana hofu yoyote kama itatokea anataka kutimuliwa kwa kuwa timu nyingi...

READ MORE

MBELGIJI SIMBA AISAKA DAWA YA YANGA

  WAKATI Simba na Yanga zikitarajiwa kucheza Septemba 30, mwaka huu katika Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa kikosi hicho,...

READ MORE

Aussems Aanza Kuogopa Mechi za Mikoani

BAADA ya juzi Jumamosi Simba kubanwa na Ndanda, kocha mkuu wa kikosi hicho, Patrick Aussems, raia wa Ubelgiji, ameibuka na...

READ MORE

Mbelgiji Agomea Nyumba Simba SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, ameuambia uongozi wa timu hiyo kuwa, anataka kuendelea kukaa hotelini kwa kuwa amezoea...

READ MORE

Mbelgiji Simba Awania Pointi 57 Dar

PATRICK Aussems ameweka wazi kwamba mbinu pekee ambayo itaipa ubingwa Simba kwa msimu wa pili mfululizo ni kutopoteza pointi yoyote...

READ MORE

Mbelgiji Simba: Naanza Rekodi Mbele ya Mtibwa

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, ameweka wazi kuwa, ataanza kuingia kwenye rekodi ya makocha waliopa timu hiyo mataji wakati...

READ MORE

Mbelgiji Abadili Mfumo Simba

MAMBO ni moto katika kikosi cha Simba huko nchini Uturuki ambako kikosi hicho kinachoendelea kujifua kwa ajili ya msimu ujao,...

READ MORE

Mbelgiji Simba Aleta Beki, Kiungo

KOCHA pande la mtu aliyemwaga wino Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems amewaambia viongozi anataka wachezaji wengine wawili wa maana. Timu hiyo...

READ MORE

MANARA Atoa CV ya Kocha Mpya SIMBA SC – VIDEO

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wamemleta Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Mfaransa Pierre Lechantre. Kocha...

READ MORE