×

Tag: Patrick

Mzimu wa Morrison Waondoka na Kigogo Yanga

BAADA ya kutolewa shutuma za kuihujumu klabu ya Yanga, kamati ya utendaji ya klabu hiyo imefikia uamuzi wa kumsimamisha kazi...

READ MORE

Patrick: Namkumbuka Sana Kanumba – Video

KIJANA Patrick ambaye aliwahi kutamba katika tasnia ya filamu akiwa na marehemu Steven Charles Kanumba na binti aitwaye Jennifer kwenye...

READ MORE

Ombi la Muna kwa Rais Magufuli – Video

MUIGIZAJI wa Bongo Movie na mfanyabishara, Munalove amesema endapo atapata fursa ya kukutana na Rais Dkt. John Magufuli atamshauri aruhusu...

READ MORE

MUNA: Peter Muongo, Nyumba ni Yangu, Hajaninunulia Gari – Video

MUIGIZAJI kutoka kiwanda cha Bongo Muvi, rose Alphonce ‘Muna Love’ katika mkutano aliofanya leo na waandishi wa habari ameweka wazi...

READ MORE

MUNA: Peter Anajua Patrick Siyo Mtoto Wake ni wa Casto- Video

Muigiza Maarufu Bongo, Muna Love, amezungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwake maeneo ya Mbezi jijini Dar es Salaam...

READ MORE

SIRI YA LULU KUTOMZIKA PATRICK YAFICHUKA!

    BAADA ya mazishi ya mtoto wa muigizaji Rose Alphonce ‘Muna’, Patrick kufanyika kisha rafiki yake kipenzi, muigizaji Elizabeth...

READ MORE

Matukio 8 Yaliyotikisa Msiba wa Patrick

JUMANNE ya Julai 3, 2018, staa wa filamu kutoka Bongo Movies, Rose Alfonce ‘Muna’ alipata pigo baada ya kufiwa na...

READ MORE

Mainda: Mitandao Imeharibu Msiba wa Patrick

MKONGWE kwenye Tasnia ya Filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amefunguka kwa uchungu kuwa, kama sio timu za kwenye mitandao ya...

READ MORE

Mazishi ya Patrick: Wema Atangaza Kumaliza Bifu na Muna – Video

STAA wa Bongo Movie, Wema Sepetu amemtaka msanii mwenzake, Rose Alphonce ‘Muna’ kumaliza tofauti waliyokuwa nayo hapo nyuma na badala...

READ MORE

Baba Patrick Achimba Mkwara Mzito Kabla ya Kuaga Mwili – Video

IKIWA ni dakika chache kabla ya kuanza kwa zoezi la kuaga mwili wa mwanaye Patrick, katika Viwanja vya Leaders jijini...

READ MORE

PATRICK KUAGWA: Wema, Shilole, Manara Watoa Neno – Video

KUFUATIA msiba wa mtoto wa Muna ‘Patrick’, baadhi ya mastaa wa Bongo Movies, Bongo Fleva na soka wakiwemo Shilole, Wema,...

READ MORE

MWILI WA PATRICK WAAGWA VIWANJA VYA LEADERS – VIDEO

  SHUGHULI ya kuaga mwili wa Mtoto wa Muna Love, marehemu Patrick imeanza katika viwanja vya Leaders jijini Dar es...

READ MORE

Muna Azidiwa, Alazwa, Baba wa Patrick Amwaga Machozi – Video

MUDA mfupi baada ya mwili wa mwanaye kuletwa nyumbani kutoka chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Aga Khan jijini...

READ MORE

Mwili wa PATRICK Waagwa Nyumbani Kwao- Video

Mwili wa mtoto Patrick umeagwa nyumbani kwa baba yake maeneo ya Mwananyamala na kupelekwa viwanja vya Leaders kwa ajili ya...

READ MORE

Mwili wa Patrick Ukiwasili Nyumbani Kwao – Video

Mwili wa Mtoto Patrick umefikishwa nyumbani kwa Baba yake Maeneo ya Mwananyamala kwa ajili ya majirani, Ndugu, jamaa na marafiki...

READ MORE

Kutoka Leaders: Hapa Ndipo Patrick Atakapoagwa – Pichaz

MAANDALIZI ya Jukwaa ambapo mwili wa mtoto wa Msanii Rose Alphonce Nungu ‘Muna Love’, Patrick utakapoagwa baadaye leo yamekamilika katika...

READ MORE

R.I.P PATRICK… UMEACHA FUNZO!

POLE sana Rose Alphonce ‘Muna Love’ kwa kumpoteza mwanao kipenzi Patrick, salamu za ram­birambi ziende pia kwa ndugu, jamaa pamoja...

READ MORE

Sajenti Aeleza Alivyoachiwa Kovu Na Mtoto Patrick

STAA wa filamu kutoka Bongo Movie, Husna Idd ‘Sajenti’ ameeleza machungu yake kwa aliyekuwa mtoto wa msanii mwenzake ambaye ni...

READ MORE

HATIMAYE MWILI WA MTOTO WA MUNA WAWASILI AIRPORT

HATIMAYE mwili wa mtoto wa Msanii wa Bongo Muvi, Rose Alphance ‘Muna Love’ umewasili jioni ya leo ya Julai 06,...

READ MORE

MUNA AZIMIA! Mapokezi ya PATRICK Airport (Picha + Video)

Mwili wa Mtoto wa Muigizaji Muna Love anayefahamika kwa jina la Patrick umewasili katika uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere...

READ MORE

Mwili wa Patrick Wazuiliwa Airport, Familia ya Peter Yafunguka

KUFUATIA msanii wa Bongo Movie, Rose Alphonce ‘Muna Love’ kuondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar...

READ MORE

Kizungumkuti: Muna Awasili Airport Bila Mwili wa Patrick – Video

  TAARIFA zilizotufikia zinaeleza kuwa, Msanii wa Bongo Movie, Rose Alphonce maarufu kama ‘Muna Love’ amewasili katika Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

SHAMSA FORD: CASTO NI MTANGAZAJI TU, BABA NI PETER – VIDEO

Miongoni mwa mastaa ambao wameendelea kumiminika katia msiba wa mtoto Patrick uliopo Maeneo ya Mwananyamala ni Shamsa Ford, ambaye akiwa...

READ MORE

MTOTO WA MUNA AWATOA MACHOZI MASTAA !

DAR ES SALAAM: Machozi! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mastaa mbalimbali wa filamu na wadau akiwemo mtangazaji Zamaradi Mketema kujikuta...

READ MORE

Mwisho wa Ubishi: Baba Aanika Cheti cha Kuzaliwa Patrick

SINTOFAHAMU iliyokuwepo kuhusu baba halisi wa mtoto wa mwigizaji wa Bongo Movie, Muna,  aitwaye Patrick aliyeaga dunia juzi nchini Kenya ...

READ MORE

Baada ya Kikao Kizito, Hatimaye Muna Akubali Kupeleka Msiba kwa Peter

KUFUATIA sintofahamu kuhusu baba halisi wa mtoto wa mwigizaji wa Bongo Movie, Muna  na wapi msiba upelekwe, muigizaji wa Bongo...

READ MORE

Seteve Nyerere Amvaa Muna… “Utoto, Shetani Weka Pembeni”

KUFUATIA sintofahamu kuhusu nani ni baba halisi wa mtoto wa Muna na wapi msiba upelekwe, muigizaji Bongo Movies ambaye pia...

READ MORE

Zamaradi Afunguka ‘Vita’ ya Nani Baba Halisi wa Patrick

MTANGAZAJI Zamaradi Mketema aliyepewa jukumu kuratibu msiba wa mtoto wa Muna, Patrick ametaka yeye asihusishwe juu ya mvutano uliopo kati...

READ MORE

MUNA LOVE: BABA WA PATRICK NI CASTO, NITAMUABISHA PETER

KUFUATIA kifo cha mtoto wa Muna Love, Patrick aliyeaga dunia jana nchini Kenya akipatiwa matibabu, taarifa zenye mkanganyiko zimekuwa zikisambaa...

READ MORE

VIDEO: Baba Halisi wa Patrick Afunguka Mazito, Kifo cha Mwanaye

Global TV Online imefunga safari mpaka maeneo ya Mwananyamala ambapo ndipo ulipo msiba wa mtoto wa Muigizaji Muna Love anayefahamika...

READ MORE

Mastaa Walivyolizwa na Msiba wa Mtoto wa Muna

WASANII mbalimbali baada ya kifo cha mtoto aitwaye Patrick kupitia kurasa zao za Instagram wamepost ujumbe mbalimbali wa pole kwenda...

READ MORE

Mtoto Patrick wa Munalove na Casto Afariki Dunia -Video

MSANII wa Filamu za Bongo na mdau wa Muziki wa Bongo Fleva, Rose Alphonce ‘Muna Love’  na mtangazaji Casto Dickson, ...

READ MORE

Patrick Kanumba Afungukia Penzi Lake na Jennifer Kanumba – Video

STAA kijana aliyetambulishwa rasmi kwenye ulimwengu wa filamu za Kibongo na aliyekuwa nguli wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba, Othman...

READ MORE