×

Tag: Rais Magufuli

LIVE: Kongamano la Kumpongeza Rais Magufuli – VIDEO

UMOJA wa wanawake Tanzania (UWT) umeandaa kongamano maalum la Kumpongeza Rais wa Tanzania, John Magufuli, kutokana na juhudi zake kubwa...

READ MORE

Breaking: Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa SSRA

Rais Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko...

READ MORE

MSIMAMO WA GLOBAL PUBLISHERS SAKATA LA BUNGE LA ULAYA

TUMECHAGUA KUSIMAMA NA RAIS WETU Tumesoma barua ya maazimio 15 ya Bunge la Umoja wa Ulaya (European Union) kwa serikali...

READ MORE

Rais Magufuli: Baadhi Ya kodi za TRA Zinakera

Rais John Magufuli amesema Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatakiwa kujitathmini kwanini watu wanakwepa kulipa kodi na kuamua kutumia wamachinga...

READ MORE

Pichaz: Magufuli, Kenyatta Wazindua Kituo cha Huduma Namanga

Rais John Magufuli na Uhuru Kenyatta wa Kenya leo amezindua kituo cha pamoja cha huduma ya forodha Namanga, Arusha — ...

READ MORE

KITUO CHA NAMANGA KILIVYOFUNGULIWA NA MAGUFULI, KENYATTA – VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na Uhuru Kenyatta wa Kenya  leo wamezindua kituo cha pamoja...

READ MORE

BREAKING: Baraza la Maulid ya Kitaifa, Tanga – VIDEO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi, Selemani Jafo,  amemuwakilisha Rais Dkt John Magufuli, leo Novemba 20, 2018, katika hafla...

READ MORE

MTOLEA: Siwezi Kumkosoa Maguful, Lipumba Mbabe Sana – Video

IKIWA ni siku chache tu zimepita tangu aliyekuwa Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya CUF, Abdallah Mtolea, kutangaza kujiuzulu nafasi...

READ MORE

Rais Magufuli na Mkewe Wamtembelea Maria Nyerere

RAIS John Magufuli na mkewe Janeth Magufuli leo wamemtembelea mke wa hayati Mwalimu Julius Nyerere, Maria Nyerere,  nyumbani kwake Msasani...

READ MORE

BREAKING: Rais Magufuli Kwenye Mkutano wa Hadhara Serengeti

Rais Dkt John Magufuli anaendelea na ziara yake ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika mikoa mbalimbali hapa nchini...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI DADA YAKE ALIYELAZWA BUGANDO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Dada yake Monica Joseph Magufuli ambaye amelazwa...

READ MORE

BREAKING: JPM AMPOKEA WAZIRI KIGWANGALA UWANJA WA NDEGE DAR (PICHA + VIDEO)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameungana na viongozi wa Wizara ya Maliasili na...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Mabadiliko Baraza la Mawaziri

RAIS John Magufuli leo amefanya mabadiliko katika baraza la mawaziri na katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Kwa mujibu...

READ MORE

RAIS MAGUFULI ASALI IBADA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR -VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Julai 1, 2018 ameungana na waumini wengine kusali...

READ MORE

Jinsi Simba Walivyotunguliwa na Kagera Mbele ya JPM

RAIS Magufuli hakuvutiwa na kiwango walichoonyesha Simba jana dhidi ya Kagera na kuongeza kuwa wakiendelea kucheza hivyo hawataweza kuchukua kombe...

READ MORE

Rais Magufuli Amkabidhi Mtoto Shujaa Sh. Milioni 3, Ampa Ulinzi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli akiwa ziarani mkoani Morogoro amepata fursa ya kuzungumza na wakazi...

READ MORE

Rais Magufuli: Mambo Haya Wabunge Hawapendi Niyaseme – VIDEO

RAIS Dkt. John Magufuli amewataka wabunge kutumia fedha za mfuko wa jimbo, kutatua baadhi ya changamoto katika majimbo yao ikiwemo...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AWAONGOZA WATANZANIA KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO (Picha + Video)

Sherehe za maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yanafanyika katika Uwanja wa jamhuri...

READ MORE

Rais Magufuli Amwapisha IGP Mangu na Meja Jen. Mumwi, Ikulu (Video)

Rais Magufuli amewaapisha IGP Mstaafu, Ernest Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda na Meja Jenerali Mstaafu Simon Michael Mumwi kuwa...

READ MORE

LIVE: Rais Magufuli Akizindua Barabara ya Uyovu Bwanga, Geita (Video)

 #MagufuliBukombe #Geita Shirikianeni na vyama vingine vyote kwa sababu maendeleo hayana chama – Rais @MagufuliJP akiwaasa viongozi wa CCM...

READ MORE

Updates: Hukumu ya Sugu Mahakani Mbeya

Mahakama ya Hakimu Makazi Mbeya leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kumkashifu Rais Dkt. Jonh Magufuli inayowakabili Mbunge wa Mbeya...

READ MORE

Magufuli Ashiriki Misa Kigango Cha Mlimani, Chato (Picha + Video)

Rais John Magufuli akishiriki misa Parokia  ya Mlimani Wilaya ya Chato,  Geita, leo. …Akisali. …Akipiga makofi baada ya mahubiri kutoka...

READ MORE

Magufuli Aomboleza Kifo cha Mwanafunzi wa NIT

Rais John Magufuli ametoa pole kwa familia, ndugu, wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji (NIT) na wote walioguswa na kifo cha...

READ MORE

JPM, Mama Janeth Wampa Wastara Mil 15/= Za Matibabu (Video)

RAIS John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wamechangia Sh. milioni 15 kwa ajili ya matibabu ya msanii Wastara Juma...

READ MORE

Rais Wa Rwanda Paul Kagame Amewasili Nchini Na Kupokelewa Na Rais Magufuli

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amewasili  nchini leo Jumapili, Januari 14 kwa ziara ya siku moja. Rais Kagame aliyepokewa na...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AFUNGA HOJA YA MIAKA SABA YA URAIS – VIDEO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo...

READ MORE

Air Tanzania Inavyoipeleka Nchi Kwenye Uchumi wa Kati

WAKATI Tanzania ikiwa katika harakati za kuingia katika uchumi wa kati, ni muhimu pia kwa wananchi kushiriki katika dhamira hiyo...

READ MORE

BREAKING NEWS: JPM AMTEUA RUTAGERUKA KUWA MKURUGENZI MKUU TANTRADE

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John  Magufuli,  amemteua, Edwin Rutageruka kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo...

READ MORE

Rais Magufuli na Museveni watoa maagizo kwa mawaziri wa nchi hizi mbili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni wawaagiza Mawaziri...

READ MORE