JPM Awataka Watanzania Kuchukua Tahadhari ya Corona
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli, amewataka watanzania kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa Korona kama zinaelekezwa na wataalamu wa afya na amefafanua kuwa serikali haijazuia matumizi ya barakoa bali watanzania…
