×

Tag: Rais Magufuli

TANZIA: Mbunifu wa Nembo ya Taifa Afariki Dunia Muhimbili

Mzee Francis Maige Kanyasu almaarufu Ngosha, aliyekuwa akidai kwamba ni miongoni mwa watu waliobuni na kuchora nembo ya taifa, amefariki...

READ MORE

Rais Magufuli Ameivunja Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kusaini Amri ya Rais (Presidential...

READ MORE

Sijamuelewa Waziri Kairuki na Sifa ya ‘Kujua Kusoma na Kuandika tu’

NA WALUSANGA NDAKI | UWAZI | NIONAVYO MIMI HATIMAYE minong’ono, manung’uniko na wasiwasi kuhusu uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa...

READ MORE

Nay Ageukia Ufugaji wa Kuku!

Makala: Boniphace Ngumije na Ally Katalambula | GAZETI LA IJUMAA KUFUATIA mambo mengi kumtokea Mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’...

READ MORE

Live Kutoka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere.. Mapokezi ya Waziri Mkuu wa Ethiopia

Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn tayari ameshawasili Katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam na...

READ MORE

Neema Wambura Amshukuru Rais Magufuli Kwa Kumsaidia, Awapongeza Madaktari Muhimbili

Mgonjwa Neema Wambura ambaye alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) amemshukuru Rais John Pombe Magufuli baada ya...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua Makamishna Sita wa Uhamiaji

Na Walusanga Ndaki/GPL Rais John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo maofisa sita wa uhamiaji kuwa makamishna kuanzia Februari 28 mwaka huu...

READ MORE

Zanzibar Yaanza Kulipa Deni la Umeme

DAR ES SALAAM:  SERIKALI ya Zanzibar imelipa Sh. bilioni 10 ikiwa ni mwanzo wa kulipa deni kubwa inalodaiwa na shirika...

READ MORE

Magufuli Afuta Agizo Vyeti vya Kuzaliwa la Mwakyembe

RAIS John  Magufuli amefuta agizo la Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe, alilolitoa jana lililotaka wanandoa za kimila...

READ MORE

#GlobalUpdates: Rais Magufuli: “Nawapenda Sana hawa SHILAWADU…”

Unaweza ukadhani kuwa Rais wetu huwa hafuatilii na wala hanaga muda na haya mambo ya SHILAWADU, lakini kumbe ni shabiki...

READ MORE

NMB Yamuahidi JPM Kuendelea Kutumia Mifumo ya Kieletroniki

BENKI ya NMB imemuhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kuwa itaendelea kutumia mifumo ya...

READ MORE

Waziri Mkuu: Mwisho wa Kunywa ni Viroba Machi 1, 2017

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuanzia Machi 1, 2017 Serikali itapiga marufuku matumizi ya pakiti za plastiki kufungashiwa pombe kali...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Kufanya Mazungumzo na Wageni Mbalimbali Ikulu Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo...

READ MORE

Zitto Kabwe Amtaka Rais Magufuli Avunje Bunge

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amemshauri Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli kulivunja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Rais Magufuli azindua Fresho Investment Co. Ltd na Jambo Food Products Co. Ltd Mkoani Shinyanga 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa Januari 13,2017 amefungua rasmi viwanda viwili mkoani...

READ MORE

Magufuli Apiga Marufuku Chakula cha Msaada Misenyi, Asema Serikali Haitawajengea Waathirika wa Tetemeko – Kagera

KAGERA: Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amezuia serikali kupeleka chakula cha msaada wilayani Misenyi mkoani Kagera kwa madai kuwa...

READ MORE

Muundo Mpya Wa CCM Wasomi, Maaskofu Wamsifu Magufuli

Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais John Magufuli akiongea jambo. WASOMI, wanasiasa wakongwe, wachambuzi wa kisiasa na viongozi...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana Na Mabalozi Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi...

READ MORE

Rais Magufuli afuta safari za Viongozi wa Mikoa na Wilaya kwenda Bariadi Kuzima Mwenge wa Uhuru

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi akitangaza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe...

READ MORE

Rais Dkt. Magufuli Apokea Hati Za Utambulisho Kutoka Kwa Mabalozi Wapya Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa...

READ MORE

Wapinzani Kenya Wamkubali JPM

Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli...

READ MORE

Rais Magufuli Ashiriki Sherehe Za Mabohora Za Kuadhimisha Mwaka Mpya Wa Kiislamu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John pombe Magufuli akiwasili kwenye msikiti wa Bohora ulioko Upanga jijini Dar...

READ MORE

Rais Dkt. Magufuli Afungua Rasmi Kiwanda Cha Kusindika Matunda Cha Bakhressa Food Products ltd. Mkuranga, Mkoa Wa Pwani Leo

Waziri wa viwanda,  Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na katibu Mkuu wake Dkt. Adelhelm Meru wakiongea na Mwenyekiti wa makampuni...

READ MORE

Magufuli Amwandalia Dhifa Ya Taifa Kabila

 Rais John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Ikulu jijini...

READ MORE

Magufuli Akutana Na Kabila Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulisha viongozi kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

READ MORE

Bagamoyo Yatikisika Wakati JWTZ Ikionesha Uwezo Wake Wa Kijeshi Mbele Ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais John Magufuli!

  Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na...

READ MORE

Rais Magufuli Aongoza Baraza La Mawaziri Ikulu Jijini Dar Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kabla ya kuanza...

READ MORE

Uingereza Yachangia Bilioni 6 Kwa Ajili Ya Ukarabati Wa Shule Mkoani Kagera

Balozi Sarah Catherine Cooke (kulia) akimkabidhi mchango wa fedha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli....

READ MORE

Rais Magufuli: Tumejipanga Kununua Ndege Mpya Kubwa Mbili

Rais Magufuli akimsalimia Mkuu wa Mkoa baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili...

READ MORE

Wabunge EU Wamuunga Mkono Magufuli

Rais John Magufuli wa Tanzania. WAKATI Rais John Magufuli wa Tanzania akishikilia msimamo kuwa nchi yake haitasaini Mkataba wa Ushirikiano...

READ MORE

Rais Magufuli Atembelea Bandari jijini Dar

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba...

READ MORE

Rais Magufuli Na Mkewe Washiriki Ibada Leo Jumapili, Wawa Kivutio kikubwa kanisani!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki katika Ibada ya...

READ MORE

Magufuli Atengua Uteuzi Wa Mwenyekiti LAPF

Barua kuhusu kusitishwa kwa uteuzi huo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo ameivunja bodi...

READ MORE

Magufuli Atembelea Ofisi Ndogo Za CCM Lumumba, Dar

  Mwenyekiti wa  CCM Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi waliojitokeza katika Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam, wakati akitoka...

READ MORE

Tanzania Mpya, Uongozi Makini

Ramani ya nchi ya Tanzania. Uongozi ni hali ya muhusika mmoja kuwa na dhamana, madaraka na uwezo wa kuwaongoza wengine....

READ MORE

Nyota Ya Rais Magufuli Yazidi Kung’ara

Rais John Pombe Magufuli ASILIMIA 96 ya Watanzania wanakubali utendaji wa Rais John Magufuli tangu alipoingia madarakani Novemba mwaka jana,...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Mabadiliko ya Ma RC na Ma DC

Rais Dk. John Pombe Magufuli. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema katika mabadiliko hayo Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu...

READ MORE

Rais Magufuli apiga simu ‘live’ Clouds 360

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kewe Mama Janeth Magufuli leo asubuhi wamepiga simu...

READ MORE